Laptop ya kununua kwa bajeti isiyozidi 950k

mkuu hii redio sio 24hrs kiswahili?

naona ni kichina now

hii direct link
Mkuu inagoma.Inaandika error kama unavyoona hapa chini!
2021013170029.jpg
 
Ni
Ile link niliyoweka kuna mdau wa humu alinunua, ulimpigia?
Nilimcheki whatsapp hakunipa response yoyote.
By the way nashukuru kwa msaada nilienda maeneo ya kisutu pale nova computers ikabidi tu ninunue pc ya kawaida sana kwa 810k.
 
Tunachokosea kwenye PC ni kuweka vitu vingi ambavyo ni unneccessary kwa purpose ya PC yako na kutokuondoa vitu tusivyovihitaji kwenye PC au vilivyopitwa na wakati. PC nyingi tunazotumia ni above our purpose kwa wengi wetu.

Unakuta mtu ana application kama 4 zote za purpose moja. Mfano unakuta mtu ana google chrome, Mozila Firefox, Opera Mini, safari na Microsoft edge kwenye PC moja. PC hiyo hiyo ana pdf reader kibao, foxit, adobe, nitro na microsoft pdfkwa w10, unakuta ana window media player, Image viewer, Videos and Movies na VLAN vyote ndani ya PC moja! Yaani!
Hiyoo sio sababu snaa mkuuu
 
Nimetest kwa hii app naona kwangu Pia haiplay, Ila Vlc ina play vizuri tu. Download Vlc Kisha nenda kwenye network stream Kisha paste.
.
Shukrani kaka,inaplay vizuri sana!Naomba nielekeze jinsi ya kupata direct link kutoka kwenye website mbalimbali.
 
Mimi natumia pc mkuu, njia rahisi uwe na app ya kucapture video ama audio kama Idm, ukiplay kitu kunatokea kialama download, una click ile alama pop up window inatokea kudownload, kwa juu unaiona direct link.

_20210131_112955.JPG
 
View attachment 1690624
Kaka mimi ninayo IDM pia lakini nikifungua ile sehemu ya kusikiliza matangazo live katika website sipati popup ya IDM,lakini youtube napata popup kama kawaida kwa hiyo nashindwa kugrab direct link!
 
1. hakikisha idm ipo integrated na browser husika, kuhakikisha nenda kwenye setting za browser kisha extension angalia kama ipo extension ya idm.

2. kwangu inakuja rangi nyeusi kila kitu hivyo ngumu kujua button ya play ilipo ila nime highlight mahala pa kuclick ili itokee
pointer.PNG
 
View attachment 1690766
Kaka IDM ipo intergrated lakini hakuna popup
12092342142.jpg
 
Tunachokosea kwenye PC ni kuweka vitu vingi ambavyo ni unneccessary kwa purpose ya PC yako na kutokuondoa vitu tusivyovihitaji kwenye PC au vilivyopitwa na wakati. PC nyingi tunazotumia ni above our purpose kwa wengi wetu.

Unakuta mtu ana application kama 4 zote za purpose moja. Mfano unakuta mtu ana google chrome, Mozila Firefox, Opera Mini, safari na Microsoft edge kwenye PC moja. PC hiyo hiyo ana pdf reader kibao, foxit, adobe, nitro na microsoft pdfkwa w10, unakuta ana window media player, Image viewer, Videos and Movies na VLAN vyote ndani ya PC moja! Yaani!
Hata kwenye simu tunajaza takataka za hv
 
Hizi flash zenye storage kubwa huwa ni sawa na Hard disk tulizozoea?
Screenshot_20210131-150948.png
 
Back
Top Bottom