Laptop ya kununua kwa bajeti isiyozidi 950k

Mkuu nimepambana na hizi mbili zimenitoa jasho,yaani sijaweza kufua dafu!

1. hakikisha idm ipo integrated na browser husika, kuhakikisha nenda kwenye setting za browser kisha extension angalia kama ipo extension ya idm.

2. kwangu inakuja rangi nyeusi kila kitu hivyo ngumu kujua button ya play ilipo ila nime highlight mahala pa kuclick ili itokee
View attachment 1690766
Mkuu.

Hivi una uzoefu Mac Mini?

Inaweza kuwa na nguvu ya kuhande multiple screens zinazofanya vitu tofauti?

Mfano wa hapo chini.

Nataka nitengeneze multiple screen setup yenye screen 4.

Screen 3 za 27'' kwa ajili ya trading na browsing. Na screen ya juu yake inakuwa hiyo wide kwa ajili ya video editing.

Nataka niwe na CPu ndogo kama Mac Mini ambayo ni mobile. Naweza kuhama nayo kirahisi kuliko zile CPu kubwa ambazo kuzibeba ni shida kidogo.

Shida yangu ndo hiyo, ina uwezo wa kuhandle serious tasks bila kusumbua?
20210131_185132.jpg
20210131_185157.jpg
 
Hivi ni elfu 90 au laki tisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu.

Hivi una uzoefu Mac Mini?

Inaweza kuwa na nguvu ya kuhande multiple screens zinazofanya vitu tofauti?

Mfano wa hapo chini.

Nataka nitengeneze multiple screen setup yenye screen 4.

Screen 3 za 27'' kwa ajili ya trading na browsing. Na screen ya juu yake inakuwa hiyo wide kwa ajili ya video editing.

Nataka niwe na CPu ndogo kama Mac Mini ambayo ni mobile. Naweza kuhama nayo kirahisi kuliko zile CPu kubwa ambazo kuzibeba ni shida kidogo.

Shida yangu ndo hiyo, ina uwezo wa kuhandle serious tasks bila kusumbua? View attachment 1691064View attachment 1691065
mac mini hii mpya ya M1 ina nguvu kuhandle hizo task bila matatizo sema haina ports za kutosha, officially ina uwezo wa kusupport monitor mbili tu, unaweza weka hadi monitors 6 kwa kutumia 3rd party solutions.

ports za mac mini
gsmarena_005.jpg

hapo una hdmi na thunderbolt/dp/usb4 kwa ajili ya monitor.

na ni lazima iwe mac? kunaweza kuwa na alternative za built in na kutengeneza mwenyewe.
 
Mkuu nimepambana na hizi mbili zimenitoa jasho,yaani sijaweza kufua dafu!

hii ya kifaransa imekubali kirahisi ila kama sio live

ya japan kama ni live
 
mac mini hii mpya ya M1 ina nguvu kuhandle hizo task bila matatizo sema haina ports za kutosha, officially ina uwezo wa kusupport monitor mbili tu, unaweza weka hadi monitors 6 kwa kutumia 3rd party solutions.

ports za mac mini
gsmarena_005.jpg

hapo una hdmi na thunderbolt/dp/usb4 kwa ajili ya monitor.

na ni lazima iwe mac? kunaweza kuwa na alternative za built in na kutengeneza mwenyewe.
Nataka CPU iwe ndogo sana tu.

Ya kuweka hapo mezani. Sitaki lile lidude la kuweka chini ya meza.
 
Au nipe alternative.
 
cheap na reliable alternative ni intel NUC, kuna mpya zimezinduliwa za Tigerlake mwezi wa tatu hivi zitakuwa sokoni, thunderbolt 2, hdmi na dp hivyo ina drive monitor 4. zipo pia version za zamani ila hazina value kama hizi za gen 11. unazipata around $400 mpaka ikiwa configured around $600 kutegemea na ram na storage unazotaka.

NUC-in-hand-10-gen.jpg

mac mini na hizi Nuc zote zinatumia cpu za laptop, ukitaka more power (japo sio lazima) unaweza ukatengeneza mwenyewe desktop yako ndogo kwa kutumia case ndogo na apu za Amd
51SBK%2BAX80L._AC_.jpg

zipo case na motherboard ndogo kama nusu futi tu.
 
Kwahiyo nawaambia wao wanitengenezee au natengeneza mwenyewe?

Namaanisha ile kufanya online configuration, halafu wao wananitumia complete package. Au nanunua vifaa nakuja kutengeneza mwenyewe?
 
Ya Intel hio imeshatengenezwa.

Hio za kutengeneza mwenye we inabidi ununue vitu separate, zipo website kama pcpartpicker unaweza iga build ya mtu ukaagizishia complete.
 
cheap na reliable alternative ni intel NUC, kuna mpya zimezinduliwa za Tigerlake mwezi wa tatu hivi zitakuwa sokoni, thunderbolt 2, hdmi na dp hivyo ina drive monitor 4. zipo pia version za zamani ila hazina value kama hizi za gen 11. unazipata around $400 mpaka ikiwa configured around $600 kutegemea na ram na storage unazotaka.

NUC-in-hand-10-gen.jpg

mac mini na hizi Nuc zote zinatumia cpu za laptop, ukitaka more power (japo sio lazima) unaweza ukatengeneza mwenyewe desktop yako ndogo kwa kutumia case ndogo na apu za Amd
51SBK%2BAX80L._AC_.jpg

zipo case na motherboard ndogo kama nusu futi tu.
Nimeiona na hii.

Unaizungumziaje?
20210201_092751.jpg
 
Kaka natumia chrome kuingia JF,sasa nimeadjust text size ili maandishi ya hapa JF yawe makubwa ila imegoma.Kwenye website nyingine maandishi yanakuwa makubwa kama kawaida.Je kuna jinsi ninaweza kufanya ili kwa hapa JF maandishi yaweze kuwa makubwa ili niweze kusoma bila shida?Natumia simu ya android.
 
Umejaribu kubadili browser? Ili uangalie kama ni chrome ama Jf? Tumia Firefox
 
Ya Intel hio imeshatengenezwa.

Hio za kutengeneza mwenye we inabidi ununue vitu separate, zipo website kama pcpartpicker unaweza iga build ya mtu ukaagizishia complete.
Nimekuelewa chief.
 
Wakuu nimezunguka kuanzia kisutu kule hadi kariakoo.Ajabu ni kuwa pc zimepanda sana bei aisee.Kwa vigezo vyangu pc ni 1.3M
Duka moja tu coi3 ndio 1.1M na yenyewe ni bila risiti eti.
Hizi za processor ya pentium ndio naambowa 900k na refurbished ndio zinacheza humo bei
Naombeni maoni zaidi
You will not get that pc if you are looking for it that way
 
Check Facebook or Instagram this supplier anaitwa Pirlo Inc Computers, Find that PC you want by window shopping on their listed products then check with them if it's still available or you can go directly to their shops all physical addresses are in their social media.
If you will grab i5 processor 6th to 8th with 8GB RAM you will be safe in performance and budget.
These guys also offer storage and memory upgrades you can get SSD or adjust your RAM configuration before you bought it.
Thanks me later
 
Back
Top Bottom