Laptop ya kununua kwa bajeti isiyozidi 950k

Hapana Dual core na thread 4,

Sema ni core 2 zenye nguvu sana, perfomance yake ipo on par na quad-core za zamani.
Hivi kaka kinachoifanya PC moja ambayo ni dual core kuwa na nguvu sana wakati PC nyingine yenye dual core hiyo hiyo kuwa haina nguvu ni nini?
 
Nguvu ya core, Kuna cpu core zake Zina nguvu sana na nyengine core zake hazina nguvu sana.

Chukulia mfano Kuna malori Mawili yanashusha mzigo WA magunia,

Lori LA kwanza Kuna watu wawili wameshiba Wana uwezo kila mmoja kubeba gunia mbili

Lori LA 2 wapo wanne lakini hawana nguvu sana ili Kubeba Gunia wawili wanalibeba pamoja.

Hivyo jamaa WA Lori LA kwanza japo wapo wawili tu watamaliza mapema sababu wanabeba magunia manne kwa mpigo, Lori LA pili japo wapo wanne ila watachelewa sababu wanabeba Mawili kwa mpigo.
 
Shukrani mkuu!

Sasa nitajuaje kuwa dual core hii au quad core hii ina nguvu na dual core ile au quad core ile haina nguvu?Yaani ni vitu gani hasa nitaangalia katika specifications?
 
Huwezi jua kwenye specification,

Unatumia benchmarks mbalimbali online. Ambayo ni rahisi inaitwa passmark (cpu benchmark) ukigoogle tu cpu husika inakuja results za juu.
 
Hivi kaka kwa mfano dual core/quad core zenye clock speed tofauti huwa zina nguvu sawa?
 
Unaweza tumia clocks peed kupima performance kwenye same architecture/generation tu. Zikiwa generation tofauti Unahitaji kutumia benchmarks sababu Tayari IPC ni tofauti.

Mfano mzuri ni huu WA i3 Gen ya 10 na i7 Gen 7

-i3 Gen ya 10 clock speed ni 1.2ghz tu na ina turbo mpaka 3.4ghz kwa macho ya kawaida mtu atakwambia 1.2ghz ni ndogo sana na hii processor haina maana.

-i7 Gen 7 ina 2.7ghz na turbo mpaka 3.5ghz kwa macho ya kawaida hii ni mzuri sababu ina 2.7ghz ambayo ni bora kuliko 1.2ghz.

Ila kiuhalisia hio i3 ni much much better compare na hio i7 ina nguvu almost Mara mbili ya hio i7 sababu tu inatokea kwenye generation ya mbele kuliko hii i7.
Source za benchmark

Tukija kwa Dual core na quad core pia same issue inatokea i3 Gen ya 11 inamkimbiza i7 Gen ya 8 ambaye ni quadocre Hali yakuwa i3 ni dual core.

Hivyo clock speed haina maana uki compare Gen tofauti za cpu, ina maana ukicompare tu ndani ya Gen moja. Mfano i7 Gen ya 11 yenye clocks peed kubwa ina nguvu kuliko i3 Gen hio hio yenye clock speed ndogo.
 
Mkuu shukrani sana,hapa nimeelewa kwa kina sana
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Chief hii Desktop ina specification
Hizo hapoo
Ila Ram ndo kama hiyo hapo
Najiuliza nikipiga Window 10 na kuweka besic Software kama Vlc na Office 2013.
Ikiwepo na Chrome si vyema tuu Kaka.
20210122_112802.jpg
 
Chief hii Desktop ina specification
Hizo hapoo
Ila Ram ndo kama hiyo hapo
Najiuliza nikipiga Window 10 na kuweka besic Software kama Vlc na Office 2013.
Ikiwepo na Chrome si vyema tuu Kaka.View attachment 1684158
Ndio na ram bei rahisi sana, 2gb nyengine unapata 20,000 ama chini ya hapo, ongeza angalau 4gb.

Pia sababu windows experience index ni 1.0 ina maana haina drivers za graphics, consider kuweka Hizo drivers toka site ya Intel.
 
Go get refurbished, achana na brand new hizo specs ni za entry-level pc that you can get for about 60% of your allocated budget, just get Lenovo ThinkPad x250 au X260 they come with intel i5 5th generation, 8GB of PC3L RAM with one empty slot if you want to upgrade later, they are good for home use and medium corporate works.

Just forget those generations talks they meant nothing to you as they always do not imply great performance increase rather than efficiency in power consumptions and lithography shits which in Africa we don't give a damn about it.
 
Usipotoshe aisee, i3 Gen ya 10 ama ya 11 ina nguvu kushinda cpu yoyote ile ya Gen ya 5 ama ya 6 za mainstream, kama unaona sio sahihi taja hio cpu ya Gen ya 5 ama ya 6 inayoipita i3 1005G1 ama 1115G4.

Na sio nguvu tu ya Cpu gpu za ndani za Gen ya 11 na 10 zina nguvu sana kiasi kwamba huhitaji dedicated gpu ya low end. Hizi sijui Nvidia 940mx, 330mx 240mx etc zote zimepitwa, labda utumie midrange ama high-end kama 1060, 3080 etc.
 
Wew ni kilaza
Alafu wewee Acha mambo yako.
We sio lazima utafute Kiki Kwa watu na kuwatukana.We hujui kitu.Nakingereza chako cha vyuo vya kijiweni.
Tuachie na broo wetu Mkwawa.

Usije ukaleta hizi mada broo.

Maana sasa unakuwa kama Ke
 
The “generations” used in CPU marketing are now pure marketing terms.

Technically, even the most modern “10th generation” Intel desktop core-series CPUs use the same microarchitecture than the “7th generation” i7–7700k. In reality, they are the same generation. The new one just have more cores and some very small improvements to make side channel attacks harder.

Back in the good old days, they did release a totally next microarchitecture every 3–5 years. (8086 =>80286 => 80386=>80486 =>Pentium=>Pentium Pro). These could be called a truly different CPU generations. Then they went into just mostly improving old microarchitectures but giving them new names (Pentium II is just Pentium Pro with cheaper L2 cache and MMX support), Pentium III is just Pentium II with SSE support. However, Pentium IV was a truly new microarchitecture.

But in the last few years, Intel has reverted into just releasing slightly clock-bumped versions of old microarchitectures, and calling these “new generations”. This is mostly marketing bullshit.

On AMD side, It’s slightly better but not much.

Practically, there are two different microarchitectures of Ryzen, Zen and Zen2. The “Second generation ryzen 2000 series” which is based on “zen+” is just a fixed version of the original zen, made with slightly higher slock speeds(because they managed to improve the manufacturing process slightly, and then decided to start calling it “12nm” instead of “14nm” even though all the dimensions of the manufacturing process are exactly the same). It’s not a new generation.

SO, what matters is the actual microarchitecture.

On Intel, core 2000- series brough is sandy bridge, which was a new much better microarchitecture than previous Nehalem/Clarkdale. 3000-series microarchitecture is Ivy bridge, almost the same, but made with better mfg process, which improves mostly energy efficiency. 4000 series is Haswell, again new improved microarchitecture. 5000 series was”Broadwell”, just Haswell with a new mfg process, but clock speeds were initially bad, and then finally got them fixed, they started calling it 6000 series. Calling 5000 and 6000 series different generations was marketing bullshit. Then came 7000-series , new Skylake microarchitecture. And that’s where we are STILL stuck at on Desktop.

On laptops, however, new Sunny Cove microarchitecture came in 2019, and the “10000-series” is a strange mix of those really new Sunny Cove chips and just clock speed and core count bumping of 5-years old Skylake.

So, ignore what generation the marketing talks about. Learn what is the actual microarchitecture of the core.
 
Alafu wewee Acha mambo yako.
We sio lazima utafute Kiki Kwa watu na kuwatukana.We hujui kitu.Nakingereza chako cha vyuo vya kijiweni.
Tuachie na broo wetu Mkwawa.

Usije ukaleta hizi mada broo.

Maana sasa unakuwa kama Ke
au sio Havard boy 🤣 🤣 🤣
 
Hawa watu wanao Soma vyuo vya mitaani Ada wamelipiwa na ma shemeji utawajua tuu.
 
My bad [emoji120][emoji120][emoji120], huwa napata jazba when I have to explain vitu ambavyo nahisi ni common.
Niwatake radhi wana janvi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom