incognitoTz
Senior Member
- Apr 19, 2019
- 135
- 181
Sorry it was my badHapa umekosea.
Huyu chief mkwawa unaemwita kilaza bandiko zake akimjibu mwingine zilisaidia sana nilipotaka kununua laptop mpya. Huyu anatumia muda wake ku share.
So hata kama we mjuzi, huo ujuzi wako ni useless kwenye hizi forums unless unawasilisha kwa namna inayoeleweka na kuheshimu hoja za wengine.