Kariakoo kibao tuu anapata HP With due respect Chief Mkwawa hawezi kupata computer mpya ya 1-1.5m kweli hapa Tanzania au ulikua unamtania? Ukiachana na Macbook naona anapata tena yenye specifications nzuri tuuHakuna laptop mpya ya hio bei, tafuta tu mtumba mzuri kwenye warranty kwa muuzaji anejielewa.
Kuna uhaba mkubwa wa ram na ssd cheapest laptop kabisa za wildcat lake ni around $600 soko la kimataifa, even wachina brand ndogo ndogo kama Chuwi walicho manage ni $440 huko kwao China, mpaka ikija huku ujue imeshavuka hio budget.Kariakoo kibao tuu anapata HP With due respect Chief Mkwawa hawezi kupata computer mpya ya 1-1.5m kweli hapa Tanzania au ulikua unamtania? Ukiachana na Macbook naona anapata tena yenye specifications nzuri tuu
Sidhani kama Jamaa anahitaji Workstation ya Ku run Airport nahisi anahitaji PC ya kawaida tuu kama hii ni 1.5m siyo nzuri?Kuna uhaba mkubwa wa ram na ssd cheapest laptop kabisa za wildcat lake ni around $600 soko la kimataifa, even wachina brand ndogo ndogo kama Chuwi walicho manage ni $440 huko kwao China, mpaka ikija huku ujue imeshavuka hio budget.
Utapata hio laptop kwa hio budget either ni mtumba ama mpya ila imekaa sana kwenye stock, machine za ddr4, na hali itaendelea hivi hadi 2027, labda 2028 itakaa sawa huko wakishanjenga Ai zao kwanza.
Ndio ni mtumba mkuu, baada ya gen ya gen ya 11 tukaenda hadi gen ya 14, then tukaanza core ultra series sasa hivi tupo ya 3 tunaenda ya 4, so hio machine ni kama gen 6 za nyuma, imekuwa released January 2021 zaidi ya miaka 5 iliopita, MTU yoyote akikwambia ni mpya dukani anakudanganya, na ram zake ni za bei rahisi za ddr4 hazijaathirika sana na huu uhaba wa ram.Sidhani kama Jamaa anahitaji Workstation ya Ku run Airport nahisi anahitaji PC ya kawaida tuu kama hii ni 1.5m siyo nzuri?
View attachment 3705233
Hapo yenyewe ni 11Gen ume convert vipi kwenda 6Gen?Ndio ni mtumba mkuu, baada ya gen ya gen ya 11 tukaenda hadi gen ya 14, then tukaanza core ultra series sasa hivi tupo ya 3 tunaenda ya 4, so hio machine ni kama gen 6 za nyuma, imekuwa released January 2021 zaidi ya miaka 5 iliopita, MTU yoyote akikwambia ni mpya dukani anakudanganya, na ram zake ni za bei rahisi za ddr4 hazijaathirika sana na huu uhaba wa ram.
11 gen, 12 gen, 13 gen, 14gen, 100 series, 200 series, 300 series (tupo hapa sasa hivi) na soon 400 series inazinduliwa.Hapo yenyewe ni 11Gen ume convert vipi kwenda 6Gen?
Kwa hio kwa 1.5m hawezi kupata laptop nzuri latest ? Tushauri pia tusiweke tu specs, anunue ipi ??11 gen, 12 gen, 13 gen, 14gen, 100 series, 200 series, 300 series (tupo hapa sasa hivi) na soon 400 series inazinduliwa.
So gen ya 11 ni gen ya 6 nyuma toka gen ya sasa.
Unapata laptop nzuri nyingi tu, kila bei hadi laki 3,Kwa hio kwa 1.5m hawezi kupata laptop nzuri latest ? Tushauri pia tusiweke tu specs, anunue ipi ??