LAPF waanza kuita watu kwenye interview

LAPF waanza kuita watu kwenye interview

CPA haubahatiki kuipata ila wewe ni Kipanga mkali, Genius nk taaluma hii ni ngumu tunaijua wenyewe, mikimiki ya MANAGEMENT ACCOUNTING migumu kwaiyo jikubali kaka

Hahaha pamoja sn kamanda na kweli kabisa hapa MA pale kati INTERNATIONAL FINANCE dah lazima ujikubali naukiwa mzembe2 lazima uombe poo!
 
Shukran kaka yako napita kunanamba ilinicall mda flan nilikua nimezima simu hii hapa +255901761234.
 
mm nimepigiwa leo nafasi COMPLIANCE OFFICER ila eneo la interview sikusikia vizuri maana nlikua kwenye daladala kwa waliopigiwa kwa hii nafasi anifahamishe tafadhali.
 
Saa 2 asb uwe na calculator, passport size3 coloured, vyeti irijino na kitambulisho kwa nafasi ya compliance officer
 
Operation officer bado hawajaitwa eeh! Maana nasikia post mbili tu ndio mlioitwa hizo zingine nafikiri bado,, au mi cna vigezo
 
Operation officer bado hawajaitwa eeh! Maana nasikia post mbili tu ndio mlioitwa hizo zingine nafikiri bado,, au mi cna vigezo

Kwani kulikua na post za operation officer mkuu? hakukuwa na hizo post!

senior accountant (post 1)

accountants (post 2)

compliance officers (post 4)
 
Back
Top Bottom