Uhuni huu unaita watu wengi post 4 tena unakuta 2 au 3 zina wenyewe kabisa mimi siendi hiyo interview yao
KWELI mkuu kujaribu ni vizuri kuliko kuacha kabisa.....
Uhuni huu unaita watu wengi post 4 tena unakuta 2 au 3 zina wenyewe kabisa mimi siendi hiyo interview yao
safiii sanaa... never give up... your not defeated until you give up the fight.Mkuu we nenda kapige usaili huwezi jua,Mungu ni mwema....
Nikikupa story yangu unaweza cheka,kipindi TRA wametangaza nafasi zao za kazi nilikua na jamaa yangu internet,tunafanya application mbalimbali,jamaa yangu akasema hizo za TRA usiombe zina wenyewe... nikasema hapana acha nijaribu bahati yangu....
Niliomba kweli,nikaitwa usaili diomond jubilee,people zilikua nyingi sana,sikukata tamaa,nikawepa mpira kati,majina yalipotoka second round nipo,nikaweka mpira penalty,siku hiyo nilikua zangu pale mwenge,nashangaa naona no ya simu ya ttcl,nikapokea nikaambiwa njoo kesho uchukue barua yako ya ajira hapa TRA...
Jamaa yangu hadi leo hua anaraumu tu kwamba na yeye angeweka mpira kati,yawezekana angeingia hata kwenye penalty box.....!! Usikate tamaa,pigana,pambana hadi siku yako ya mwisho aliyokupa mwenyezi Mungu hapa duniani.....!!
DUCE mkuu tarehe 11/7/15
compliance officer wengine wameambiwa dodoma wapigie cmu kk usirelax
compliance officer wengine wameambiwa dodoma wapigie cmu kk usirelax
compliance officer wengine wameambiwa dodoma wapigie cmu kk usirelax
Maswali yalikuwa ya namna gani mkuu,na vp mlikuwa nyomi au kawaida tu.....nijuze ili nijue kama naenda kwenye iyo compliance au nisiendeAccountant post ilikuwa maswali ya shule matupu. Compliance ni bora ujiandae maana najua itakuwa hivyo hivyo. All the best kwa tutakaoenda kwenye ya compliance
tulikuwa kama 70 na ilikuwa maswali ya auditing na accounting kwa sababu ndio vitu anavyotakiwa kujua accountant.Maswali yalikuwa ya namna gani mkuu,na vp mlikuwa nyomi au kawaida tu.....nijuze ili nijue kama naenda kwenye iyo compliance au nisiende
Saafi kiongozi iyo mi sikuitwa ila niliomba na niliqualify for the post,ila ngoja nikathubutu iyo ya Compliance.....vp mmefanya maswali mangapi na vp mda???I mean mmefanya kwa time gani and what is the implication of pasport size..vp wamezichukua au mmebandika wapi???na mmeandika majina au mlipewa namba za kuandika???tulikuwa kama 70 na ilikuwa maswali ya auditing na accounting kwa sababu ndio vitu anavyotakiwa kujua accountant.
Compliance nenda tuu mkuu,huna cha kupoteza japo najua itakuwa nyomi
maswali 6 kwa saa moja na sio kuchagua ni ya kulezea.Saafi kiongozi iyo mi sikuitwa ila niliomba na niliqualify for the post,ila ngoja nikathubutu iyo ya Compliance.....vp mmefanya maswali mangapi na vp mda???I mean mmefanya kwa time gani and what is the implication of pasport size..vp wamezichukua au mmebandika wapi???na mmeandika majina au mlipewa namba za kuandika???
Sorry kwa usumbufu kiongozi naomba unijulishe ata kwa kusummarize tu
so hakukuwa na matumizi ya calculator ? Dah pepa za kujieleza ndio nazipenda ..Najiandaa na hiyo compliance.tulikuwa kama 70 na ilikuwa maswali ya auditing na accounting kwa sababu ndio vitu anavyotakiwa kujua accountant.
Compliance nenda tuu mkuu,huna cha kupoteza japo najua itakuwa nyomi
Hawa jamaa wako vizuri sio kama PPF .....kaka nashukuru kwa taarifa,I dared to attendmaswali 6 kwa saa moja na sio kuchagua ni ya kulezea.
passport sizee hawakuchua
Tumeandika majina na majibu ya mtihani wamesema ni leo yanatoka
Hawa jamaa wako vizuri sio kama PPF .....kaka nashukuru kwa taarifa,I dared to attend
tulikuwa kama 70 na ilikuwa maswali ya auditing na accounting kwa sababu ndio vitu anavyotakiwa kujua accountant.
Compliance nenda tuu mkuu,huna cha kupoteza japo najua itakuwa nyomi
Mkuu vipi walibadika list ya majina?au kuna sehemu wamepost majina ya walioitwa kwenye post ya comliance officers?