LAPF waanza kuita watu kwenye interview

LAPF waanza kuita watu kwenye interview

ajiandae kwakweli maana ni nafasi nne watu walipogiwa simu efu tatu, hadi jumamosi ifike kitaeleweka

Na taarifa zilizipo bado wanapiga kiongozi post za compliance officers so kazi ipo nyomi ya kutosha
 
Kwahyo bado wanaendeleaje kuita? Au ndio wamemaliza?
 
Na taarifa zilizipo bado wanapiga kiongozi post za compliance officers so kazi ipo nyomi ya kutosha

afu ukute wenye nafasi hawaendi hatakufanya hiyo interview
 
ajiandae kwakweli maana ni nafasi nne watu walipogiwa simu efu tatu, hadi jumamosi ifike kitaeleweka
Jana asubuhi wakanipigia kuniita ya compliance officer,hii sitaenda. ya accountant watakuwa wameita wachache.

USHAURI WANGU WADAU, TWENDENI TUKAJARIBU HATA UKIKOSA NAFSI ITARIDHIKA MAANA ULIJARIBU. NAFASI CHACHE ILA WANAWEZA KUKUWEKA KWENYE DATABASE AFU UKAITWA BAADAE. ALL HE BEST
 
KWELI mkuu kujaribu ni vizuri kuliko kuacha kabisa.....
 
DUCE iko sehemu gani? nikifika buguruni chama nipande gari inayoelekea sehemu gani na nishuke kituo gani? Naomba kufahamishwa.
 
Ukifika buguruni chama pale panda gari za mbagala rangi 3 au mtoni mtongani then shuka (uwanja wa taifa kituo) muulize mtu yeyote pale DUCE ilipo utaonyeshwa ilipo inapakana na uwanja wa taifa
 
Nyie mnaosema interview ni jumamosi acheni kupotosha watu.. Mimi nimeitwa compliance officer interview ni tarehe 8 jumatano.

Sio vizuri kupotosha kwa makusudi.
 
Ungesoma huu uzi kwanza mwanzo mpaka mwisho kunawatu wameitwa tarehe 8 na wengine 11 mfano mimi ni mmoja wapo nimeitwa tarehe 8 post ya accountant sasa nani kapotosha wewe informations ulizo ambiwa zingatia hizo hizo ila inavyo onekana tarehe 11 pia kuna watu wanafanya interview japo kuwa mimi pia na fanya tarehe 8!

So hakuna anayepotoshwa kaka! kila mtu azingatie alicho ambiwa kwenye simu
 
Nyie mnaosema interview ni jumamosi acheni kupotosha watu.. Mimi nimeitwa compliance officer interview ni tarehe 8 jumatano.

Sio vizuri kupotosha kwa makusudi.

wewe si umeitwa tarehe 8 nendaa... unapotoshwaje? wewe nawe unapotosha walioitwa tarehe 11 au? fuata maelezo ya aliekupigia simu.. sio kutuhumu umepotoshwa au wanapotoshwa... fuata maelezo sio comments..
 
Okay nimewaelewa. Maana kuna mtu alinipigia simu kuhusu hii topic ndio nikaja kucomment he was confused.
 
aisee waendelee kuita hadi hiyo ijumaa jion coz mm sjaambulia sim yao!
bado nawasubiria!
 
swala la tarehe kila mtu aende tarehe aliyopangiwa!
watu Elf 5 lazma wagawanywe.
 
Ukifika buguruni chama pale panda gari za mbagala rangi 3 au mtoni mtongani then shuka (uwanja wa taifa kituo) muulize mtu yeyote pale DUCE ilipo utaonyeshwa ilipo inapakana na uwanja wa taifa

Thanx.
 
Nyie mnaosema interview ni jumamosi acheni kupotosha watu.. Mimi nimeitwa compliance officer interview ni tarehe 8 jumatano.

Sio vizuri kupotosha kwa makusudi.

mm nimeitwa Tar 11 nilimuuliz mara 3x position y compliance officer so ww nenda hiyo tare 8 haina haja y kubishana
 
Back
Top Bottom