KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Kweli kamanda? na ukifanikiwa kupata siwata ulizia refference ulipo fanyia kazi zamani ama?
Ni mara chache sana kufanya refference mkuu ulipotoka mkuu wangu.
Kweli kamanda? na ukifanikiwa kupata siwata ulizia refference ulipo fanyia kazi zamani ama?
Ni mara chache sana kufanya refference mkuu ulipotoka mkuu wangu.
wakikuuliza unaweza weka hata namba ya mshikaji. ukiwa mkweli wakati mwingine hufanikiwi. Mimi yenyewe niliwahi sota kitaa ila cv inaonyesha baada ya chuo nimepiga mzigo
hizi nafasi ni zile ilikuwa lazima utume maombi lapf dodoma?....
Habari zenu wandugu naombwa kujazwa kana kuna mtu aliyeomba nafasi ya compliance officer LAPF kama kaitwa kwenye interview
Hata compliance officer wameanza kuita ni pale DUCE tarehe 11/7/15 wamesema kwenda na
1.vyeti
2.passpot size tatu coloured
3.kitambulisho
4.calculator
Muda ni saa mbili asubuhi
Mim nimeitwa compliance officer pale DUCE saa mbili asubuhi niende na
1.passport size tatu coloured
2.calculator
3.kitambulisho
4.vyeti halisi
Ni tarehe 11/7/15
Uliapply hiyo post ya compliance officer?
Wamekupigia simu lini? Ili nianze kukaa karibu na cmu maana niliomba hyo post pia
Uliapply hiyo post ya compliance officer?
Wamekupigia simu lini? Ili nianze kukaa karibu na cmu maana niliomba hyo post pia
kiongozi tarehe ni 8 au sijasikia vizuri mimi
i hope experience & CPA vina add advantages coz me kwa kweli experience sina but nime bahatika kupata CPA november ila ugumu ninao upata mimi kwenye kupata hii ajira ni kuwa hii nafasi ya accountant waliyo tuita ziko mbili kama cjakosea na ile ya senior accountant iko moja itakuaje sijui na idadi ya watu!
Ila mimi nlijaribu kuomba zote ya accountant & compliance officer jana nmepata simu ya hii accountant sijui DUCE tutakuaje!