Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
- Thread starter
- #21
poa,nitakupa feedback
0262321745 hii hapa namba. wanasema wamebadili venue
poa,nitakupa feedback
angalia kwenye received calls inaanza na 026
mkuu simu ulipigiwa saa ngapi,,,?, tar8 ni jumatano ijayo, tangu lini interview zikafanyika siku ya kazi..?,wadau kaeni karibu na simu zenu LAPF wameanza kuita nimepata simu yao leo (0262321745)
Mtanange Duce 8/7/2015 naona iko kishule zaidi hadi wanasema calculator, accademic certificates & passport size!
Accountant post
mkuu simu ulipigiwa saa ngapi,,,?, tar8 ni jumatano ijayo, tangu lini interview zikafanyika siku ya kazi..?,
yes, ni kweli itafanyika DUCE
hawa wanoita kwenye usaili kwa kupiga simu mimi huwa sina imani nao, wangeweka majina tukaona.[/QUOTE
No credibility...uchakakuzi inakua rahisi.
Tulituma maombi tangu april hadi leo?
Wakuu leo nilipigiwa simu kwa ajili ya interview.Naona wameanza kuita.
Mimi nimeitwa katika nafasi ya ACCOUNTANT
Una qualification gani mwenzangu?mi mbna niliomba iyo post ,na hawajanibip wala kunipigia?Mi ni Graduate Accountant, au we mwenzangu una sifa zaid ya iyo??na kwenye Profession ya Uhasibu mwisho kabisa nia GA sasa wewe wamekuita kwa vigezo gani??
NAOMBENI MSAADA
Kwanza nitangulize samahani kwa kuingilia Uzi huu, nipo nje ya mada kidogo.
Nataka ku-download
App ya Mobile spy ili kua napata taarifa za mawasiliano ya mpenzi wangu kwani si muaminifu, lengo ni kuwa naona sms zake anazotuma na kutumiwa, simu anazopigiwa na kupiga.
App hiyo inapatikana
katika hii link www.mobilespy-uk-androidsoftware.wapka.mobi sasa najaribu kuilipia kwa Credit card yangu dollar 2 ili ni download inanambia Card ended
Nilishaga wahi kudownload nikawa nayo katika simu yangu nyingine nataka kudownload katika simu nyingine mpya ndo inanambia CARD ENDED
Kwa anaejua anisaidie itakua tatizo nini jamani?
mimi pia ni GA na nina uzoefu. ila kuwa na subira bro kuna leo pia unaweza kuitwa
i hope experience & CPA vina add advantages coz me kwa kweli experience sina but nime bahatika kupata CPA november ila ugumu ninao upata mimi kwenye kupata hii ajira ni kuwa hii nafasi ya accountant waliyo tuita ziko mbili kama cjakosea na ile ya senior accountant iko moja itakuaje sijui na idadi ya watu!
Ila mimi nlijaribu kuomba zote ya accountant & compliance officer jana nmepata simu ya hii accountant sijui DUCE tutakuaje!
Kiongozi mambo vip? sometimes uwe unafoji experiences ,to me it works mkuu.