LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

Hawa jamaa wa LAPF ni wapuuzi sana mimi mwenyewe niliwahi fanya kazi na taasisi flani jina nahifadhi kwa mudavwa mwaka mmoja kabla ya kuingia serikalini na huku niko mfuko mwingine sasa nimefuatilia kuwithdraw kahela ka mafao process zote nilikamilisha since Feb 2015 na nikaambiwa ndani ya wiki 2 itakua tayari but hadi leo tunapigana chenga oooh mara system inasumbua mara manager hajaipitisha
Ni wababaishaji sana hapa nafikiria kuiripoti hiyo ishu HQ yao maana ni branch ya mwanza naona tunaleteana mambo meusi tu
 
Endeleeni na ujinga wenu wa kutumwa na PSPF na bado mwaka huu mtakoma maana naskia hata wastaafu wa toka mwezi wa 12 hamjawalipa wapuuzi nyie mnafiki mtatupata wanachama kwa mtindo wenu wa kitunga uongo na kuuleta jf? Hamtupati ng`o ng'o ng'o na nimeshaanza kuwapa elimu walimu wenzangu utamu wa LAPF a room Lapf wanazidi kuwa watamu
 
Nilichojifunza kwenye hii thread ni kua kundi la wafanyakazi au wanetumwa na PSPF wameamua kuanzisha uzi ili kuwaponda LAPF inawezekana wamekutana kwenye uzi kwa kupanga au bahati mbaya maana kwenye uhalisia ni mwendawazimu tu anaeweza kuamini uongo kama huu na hii inatokana na ujio wa ajira mpya za waalimu ivyo sishangai hii mifuko inavyonyukana kwa kugeuza uongo kua ukweli na mbaya zaidi wa-Tanzania hatuna ABC za mifuko ya hifadhi ya jamii na wengi wakipata ajira ndio wanakutana na jambo hili akishtuka ashaingizwa mjini.
-PSPF wana mapungufu mengi sana na hata wanachotangaza pia kuna uongo na mengine hayawezi kufanyika kwa kada fulani.
-LAPF nao wana mapungufu mengi ingawa kwenye huu uzi yale ya msingi hayajazungumzwa.
-NSSF nao wana mapungufu yao ila kwenye ajira za serikali(Elimu,afya,kilimo nk)wao ni toothless dog.
Mifuko mingine haina afya ya kugombana na hao giants hapo juu ndio maana hawana hata muda wa kuja kwenye social networks kuleta uongo.
Angalizo ndugu zangu mnaotarajia kuingia kwenye ajira mpya anzeni kutafuta taarifa sahihi kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii kuna propaganda nyingi sana kwa sasa hasa baada ya serikali kubadili mfumo mzima na kuruhusu mifuko hii inyang'anyane wateja kupitia ubora wao.
 
Sheria ya sasa hivi haitoi fursa ya kujitoa mfuko mmoja kwenda mwingine.lakini unaweza kujiunga mfuko mwingine kama mwanachama wa hiari!
.thank you,you are wise featuring your name.stay blessed
 
Back
Top Bottom