LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

Mnachekesha kweli unaongea kuhusu LAPF we kweli chizi

Fao la uzazi
Fao la elimu

Haya nimeyaonja mimi tena kwa uharaka sana hao pspf siwajui kwanza hwasomeshi wameenda jamaa zangu pale wakaambiwa unatakiwa uwe umechangia miezi 12 kwa ajili ya elimu yaani apart na makato yale yao ya kawaida kwa maana nyingine ukiwa na mpango wa kusoma uwaambie mapema 12month before ili waanze kukukata ili ukija ndio wakupe,,

Lapf nimewafata Friday wakanipa form nikaipeleka kwa afisa utumishi na barua kuruhusiwa kusoma jtano nkawapa next Monday wakalipa ada chuoni

Sweety alijifungua nkajaza form yake nkawapelekea akalamba 1.3 million ya martenity tena wala hakatwi its free

Kati ya mifuko bora LaPf wako vizuri

Kajipange jombaaaaaa

acha kutetea wezi mkuu. ushahidi wa haya unayosema uko wapi?
 
acha kutetea wezi mkuu. ushahidi wa haya unayosema uko wapi?

Sijawa advertising manager wa LAPF ila ni mteja wao kwa miaka 5sasa hayo mafao mawili la elimu na uzazi nimeshayatumia

Niko chuo LAPF ndio wanalipa ada
Maternity sweety alichukua 1,
.3 m

Ushahidi upi unataka ?we jiongeze ulizia hao PSPF kama kuna ambaye analipiwa ada au fao la uzazi kama lipo,,,usiishie hapo ingia websites zao jioneeee

Pia hapahapa nenda kwenye forum ya walimu ulizia pspf versus lapf utapata majibu yako

Tunajua ajira zinakaribia kutoka na semina mmefanya za registration za wateja wapya haswa walimu na mnasubiri wapangwe mkawarubuni,, najua mshaanza kuwahonga na maafisa utumishi ili wawarubuni,,,,, kila mtu anajua kitu kizuri,,,, ila nimeona mmeleta mkopo wa kujikimu hili mtazomba kweli

Kwenye ukweli sema,,
 
Hiyo Final Retirement Benefit hawaringi nayo tena kwa wanachama wapya coz mwaka jana SSRA ilitoa formula ambayo ilileta harmonization. So, for retirement benefit mifuko yote ni sawa. Hii propaganda kwisha habari yake.


Umeongelea kuinvest kwenye majengo etc...can you put PSPF aside on this??. Come on brother. By the way, kuinvest ni moja ya kazi tulizowapa ili hela zetu zizalishe sawa sawa.

Kuhusu meaningless benefits hata sikuelewi..labda ukasome upya ILO convention. Hilo la Funeral Grant limewekwa kati ya yale tisa, na lina maana yake. Nafikiri ni njia nzuri ya kusaidia familia ya mfiwa apart from Survivors Benefits..


By the way, mke wangu mwka jana amekula 4.5 Million kutoka NSSF baada ya kujifungua kupitia fao la Maternity...yaani alipata 3 times ya mshahara wake, na hii hela haijapunguza balance yake.. akijifungua tena atavuta mkwanja mara tatu ya mshahara wake. Humwambii kitu kuhusu NSSF.

Above all tuna jirani yetu hapa anafanya kazi kwenye kampuni ndogo tu ya usafi kwenye maofisi mjini huko, michango yake inaenda NSSF, and because of that anatibiwa yeye na familia yake yenye watoto wanne kupitia fao la SHIB.

Unataka nini zaidi ya hayo mafao safi kabisa ya muda mfupi?. Upo kazini lakini bado unaendelea kunufaika.

Kuhusu Fao la kujitoa, halipo kwenye ILO na hata Sheria ya NSSF/PPF, ni siasa za bongo tu. Hawa watu wanojitoa watakuja kuidai serikali baadaye (kama wanaakili hizo). Mimi sijitoi ng'ooo mpaka nizeeke nile pensheni ng'wanawane.

NSSF Mpango mzima ndugu yangu. Imekamilika kila eneo.

Sawa mkuu. Nimekukubali, unashuka na vivid Examples.

Ahsante sana. Vp hapa:

Ndio Harmonization rules ni from July, 2014. Je hili litaondoa kabisa utofauti wa Final Retirement Benefits kati ya mfuko na mfuko?

Kuhusu Investments sikatai ndg, tatizo ni gawio la kilichopatikana kwa members wake ni kiduchu sana uki compare na profits ( Returns) zitokazo na hizi investments! Wana invest in longterm assets ambzo Payback Period yake yaweza kuwa 20 to 100yrs. Hii inaweza kuashiria kuwa mfuko hauna hela au miradi hazijacover Original investment cost, ( in short term) then kusababisha wastaafu kutoongezewa gawio stahili kutokana na fedha nyingi kuwa tied in longterm investments kwa wakati huo!
 
Sitaki hata kuwasikia nimewafuatilia hadi nimechoka kumbe hakuna kitu, nimepoteza muda wangu kuwafuatilia nikiwa na tumaini la kuongeza elimu. LAPF mbaya wewe
 
Ninachoona hapa si kingine bali mpambano wa maafisa masoko toka mifuko ya hifadhi, kila mtu anavutia kwake. Kwa mwajiriwa mpya huu uzi utamchanganya zaidi
 
kwahiyo wameanza kabla tanzania haijapata uhuru? Hii nayo skendo, wachunguzwe washenzi hawa walipata wapi kibali?

ha ha ha bongo kila kitu magumashi..

na wanaazimisha kabisa bila aibu.. kabla ya uhuru walikuwa wanawahudumia wakoloni au machifu
 
Hiki unachokiona hapa ndo yale yale yanayotokea hawa ELOPIEFU wanapokuwa wanatoa mada na Mifuko mingine,. Wao ni kuwasema wenzao tu, utasikia PPF wako hivi, sasa hv tuna formula sawa PSPF sio ishu tena, NSSF wanawekeza wakati hawalipi wanachama wao n.k. Ila hapa ishu ya msingi ni kwamba kuna udanganyifu wanaufanya kwa Umma wa WaTZ. Mafao yao haya hapa, hilo la kujikimu hawana IMG_20150425_120431.png
 
Shaurimbay; hata mimi nimepita pita sehemu nikaiona hii historia ya huo Mfuko wa LAPF. Hapa chini nimeattach sehemu ya introduction ya LAPF kama inavyosomeka kwenye vitabu vyao vya mwongozo wa mwanachama. Hivi vitabu walitugawia walipokuja ofisini kwetu siku ya kusajiliwa kwenye Mifuko. Historia ya huu Mfuko inafanana na mambo yao ndio maana wanact locally. Na nyie mnaojiunga kwenye hii mifuko bila kujua historia yake ndo mjifunze. Kumbe ni Mfuko wa wakoloni???? Kama wewe uko huko ujue unautukuza ukoloni

IMG_20150425_114041.jpg
 
Kwa muda mrefu sasa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mfuko wa LAPF wanatoa tangazo linaloelezea kwamba wanatoa fao la kujikimu jambo ambalo sio kweli kabisa kwa maana wasimamizi wa Mifuko hawajatoa ruksa kwa LAPF kutoa fao hilo, huu ni uhuni wa hali ya juu kwa LAPF kudanganya umma na pia ni hatari kwa kituo makini kama Clouds FM chini ya Kamanda Ruge kutoa matangazo yanayopotosha kama hayo. Kama wameruhusiwa kutoa fao waoneshe barua kutoka kwa msimamizi wa Mifuko hiyo.

Pia kuna jamaa zangu huku Ipinda, huku Mbeya wamenieleza kuwa LAPF wamefulia kwa maana hivi sasa hawana tangazo katika TV yoyote ile, sasa hii maana yake wamejitoa katika ushindani au wameishiwa fedha. LAPF ni tatizo kubwa kwani wakiwa wananadi sera zao huwa wanatumia muda mwingi kuponda mifuko mingine, ushahidi ni hivi karibuni wakati wa usajili wa wafanyakazi wapya wa TRA, jamaa walipewa onyo na mdhibiti na mtumishi wao mmoja kafungiwa kujihusisha na masuala ya usajili.
.unaruhusiwa kujitoa kwenye mfuko mmoja kwenda mwingine?msaada tafadhali Dr
 
Semeni nyie wenye vihere here dume la Mifuko ya Penshen LAPF kama kawa limewapiga Mapwente yote kama inavyoonekan LAPF 31 .PSPF 10.PPF 6.GEPF.1 NSSF1 OUT OF 49 NEW EMPLOYEES CRDB. Hii taarifa ya leo mchana huu. Sasa nyie PSPF mnaodanganya watu mpo wapi? Pumbavu mbona mmeangukia pua? Bob Marley amesema katika wimbo unaoitwa Get Up Stand anasema " you can fool some people sometimes but you can't fool alla people all the time"
kwa taarifa yenu hii kama picha ni trailer pamoja na rushwa mnazozimwaga katika Halmashauri tutawanyoosha kila mtakapo kutana na sisi popote pale huu ni mwanzo mwaka huu lazima muue Mfuko Wenu. Bora muanze kuomba ajira sehemu zingine mapema maana hatutowapa nafasi mtakufa vinywa wazi wazi kama wafuasi wa kibweter. Big Up LAPF mfuko dume
 
Mkuu tujulishe kirefu cha SSRA

Ni tume ya kusimamia mifuko mbalimbali ya kijamii.
Nadhani kirefu chake ni Social Security Regislation Authority.
Samahani,hivi Dr. Mbura wewe ndiye mwalimu wangu aliyenifundisha chuoni Dar es salaam au majina tu yamefanana?
 
Ruge aanze na PSPF kwanza ndo mfuko bomu na unadanganya watu kila siku wanantangaza kuwa wanatoa maternity watu kila wakija wanaambiwa wajifungue mwakani 2017 ndo watalipwa acheni upuuzi nyieee, sijui mmekula maharagee ya wapi nyieeee hivi nyinyi PSPF ni nani aliyewalogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kakufundisha wapi huyo kadandia jina la watu hao ni field wako PSPF wamelishwa maneno wanapayuka payuka tu mfuko hauuziki boresheni huduma zenu kwanza hata juzi waziri mkuu mliyemualika kuwa mgeni rasmi aliwachana kuwa mshughulikie matatizo ya wanachama wenu acheni uchizi nyie PSPF mmelogwa
 
Huyu Komeni ndiye typically tabia zao huu Mfuko wa kikoloni. Wewe kwa kuwa ni staff wa Local ungetujibu hilo fao la kujikimu mnalo au mandanganya Umma? Una miaka takriban umri wa miaka 71 lakini una wanachama chini ya 110,000. Mfuko dume uko wapi hapo. Nimejaribu kupitia kwa Mdhibiti SSRA kuuona haya majigambo naona mnashindana na Mifuko ambayo hata nusu yake hamuifikii. Hiyo Analysis yako dhaifu ya crdb. Nadhani tutakuwa tumeufunga huu mjadala kwa analysis dhaifu ya Komeni. Mifuko yote Tanzania hii hapa, yeyote anayejua kusoma na kuandika aoine. Source: SSRA annual report ya 2014, page 24 na 25.
IMG-memb20150302-WA003.jpg IMG-contr20150302-WA006.jpg IMG-20150302-asstWA007.jpg
 
Hongera sana LAPF baba lao kumbe na leo mmewapiga hao Pwente......mmesema wanapita halmashauri wanahonga kwa ajili ya walimu eeeeh? Walimu kuweni macho haya majamaa yanahonga huko halmashuri msihadaike msichepuke bakini njia kuu LAPF ndo dume la mbegu LAPF oiyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umeonyesha annual contribution waonyeshe na malipo ya mafao mfuko wenu ulipewa wanachama bure 180,000 kutoka mfuko wa hazina halafu mnajinasibu mna wanachama wengi onyesha hapo graph ya hao PSPF inayoonyesha mnakusanya ngapi( Contributions ) na mnacholipa(benefits) mnakusanya mia mnalipa mia mbili hata mtoto wa primary akiambiwa hivyo anajua mfuko wenu bomu LAPF itabaki kuwa juu mfuko wenu lazima ufe maana hata SSRA kwenye mkutano wenu wa wadau walisema mfuko wenu unatakiwa kuhakikisha unaongeza wanachama ili kupata fedha za kutosha kuufanya uwe sustainable vinginevyo itakua tia maji tia maji pumbavu we kwenda na limfuko lako la mapwente
 
ANNUAL REPORT
For the year ended 30th june 2012
39
Public Service Pensions Fund
AU
di
T REPORT ON THE F
i
NAN
ci
AL STATEMENTS
cONT
'd
33
In addition, Sect 10(2) of the Public Audit Act of 2008 requires me to satisfy myself
that the accounts have been kept in accordance with generally accepted accounting
princi
ples; reasonable precautions have been taken to safeguard the collection of
revenue, the receipt, custody, disposal, issue and proper use of public property, and
that the law, directions and instructions applicable thereto have been duly
observed, expendit
ures of public monies have been properly authorized.
Furthermore, Sect. 44(2) of the Public Procurement Act No. 21 of 2004 and Reg. No
31 of the Public Procurement (goods, works, non
-
consultant services and disposal of
public assets by Tender) Regulations
issued under G.N 97 of 2005 requires me to
state in my annual audit report whether or not audited entity has complied with the
provisions of the law and its regulations.
I believe that the audit evidence I have obtained is sufficient and appropriate to
p
rovide a basis for my audit opinion.
Unqualified Opinion
In my opinion, the financial statements give a true and fair view of the state of
affairs of the Fund as at 30 June 2012 and of the disposition at that date of its
assets and liabilities, other tha

n liability to pay pensions and benefits falling due
after the end of the year in accordance with the International Financial Reporting
Standards and the requirements of the Public Service Retirement Benefit Act No. 2
of 1999.
Emphasis of matter
Without
qualifying my opinion, I draw attention to Note 2 to the financial
statements which indicates that based on Actuarial Valuation carried out in 2010,
the Fund has actuarial deficit of TZS 6.49 trillion. These conditions, along with other
matters as set fort
h in Note 2, indicate the existence of a material uncertainty that
may cast significant doubt about the Fund's ability to continue as a going concern.
I draw attention to Note 19 to the financial statements, the Fund has recognized
TZS 107,091,529,000 use
d to finance the construction of the College of Education of
The University of Dodoma as a loan which is contrary to the contract terms which
states that the project is in the form of Design, Build, Own and Transfer the building
where by the Fund will in t
urn receive rent calculated on the basis of cost of
investment and interest on investment i.e. 15% over a period
 
Back
Top Bottom