LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

Mie napita tu PSPF graph hizo ni exaggeration ya hazina na wanachama wa kustaafu. Kwa sababu kati ya hao wanachama 49000 wanalea retiree wenu ambao ni 49000 na 180 mlipewa hazina (msaada) ili mfuko take off. Ukitoa 180na 49 kutoka 300 ndio unapa wanachama shindani ambao hwafiki laki.wanachama cio hoja
 
Benefits Payment.PNG Benefits Payment.PNG Benefits Payment.PNG
 
Hiyo ni page no.26 ambayo pandian kaiacha kuwadanganya umma oneni na mfanye comparison kati ya Contributions na Benefits Payments mtaona mfuko gani ni mfu! Watu wanalipa zaidi ya wanachokusanya hali ni mbaya hiyo kihesabu ni deficit......Njooni na supportive documents zingine hizo yebo yebo na zinawaua wenyewe maana ukicompare bar chart ya Contributions na Benefits Payements manalipa zaidi ya mnachokusanya.....That is the crazy game guys
 
Lennysuzu na 2ngeneration, kwanin mifuko yenu kila siku inawekeza kama hamtaki sehem ya surplus ya uwekezaj ilipe mafao? Kwa kuwa nyote wawili ni waajiriwa wa hiyo lapf tujuzeni kama Mfuko wenu unatoa fao la kujikimu kama mnavyotangaza Clouds? Ndio concern ya mtoa mada. Haya mengine mnatujazia hoja dhaifu maana hesabu hamjui na hata kusoma graph kwa macho hamjui.
 
Semeni nyie wenye vihere here dume la Mifuko ya Penshen LAPF kama kawa limewapiga Mapwente yote kama inavyoonekan LAPF 31 .PSPF 10.PPF 6.GEPF.1 NSSF1 OUT OF 49 NEW EMPLOYEES CRDB. Hii taarifa ya leo mchana huu. Sasa nyie PSPF mnaodanganya watu mpo wapi? Pumbavu mbona mmeangukia pua? Bob Marley amesema katika wimbo unaoitwa Get Up Stand anasema " you can fool some people sometimes but you can't fool alla people all the time"
kwa taarifa yenu hii kama picha ni trailer pamoja na rushwa mnazozimwaga katika Halmashauri tutawanyoosha kila mtakapo kutana na sisi popote pale huu ni mwanzo mwaka huu lazima muue Mfuko Wenu. Bora muanze kuomba ajira sehemu zingine mapema maana hatutowapa nafasi mtakufa vinywa wazi wazi kama wafuasi wa kibweter. Big Up LAPF mfuko dume[/QUOTE
Bigup NSSF, PSPF Anglia statistics mzee hawa wakongwe wawili ndio gunzo hapa tz
 
Mtoa mada umeishiwa sera,umeishiwa hoja unabwabwaja tu,bila shaka unamahusiano na PSPFsubiri walimu wafike vituoni tukatoe sera acha kufikiri kwa kutumia mihemko.LAPF ni mfuko bora na endelevu,kazi mtaiona PSPF mmefirisika kifedha na kiakili.
 
LAPF haitoi fao la kujikimu inatoa mkopo wa kujikimu Mkopo sio fao naona mmedanganyana na mapwete wenzenu kuwa Mkopo ni fao na mmeweka kwenye website yenu kuwa mna mafao tisa ikiwemo na mikopo nani alikwambia mkopo ni fao?
Inaonekana mko shallow sana kwenye tasnia ya Social security, LAPF inatoa mikopo ya kujikimu uwezo wa kulipa inao tena kwa muda mrefu. Wewe unayesema ss hatuwezi kusoma graph tueleweshe eti mtu akikusanya Bill 500 akalipa Bill 600 maana yake nini? Maana katika Principles za Social security ni hatari Mfuko kutumia faida ya uwekezaji kulipa mafao baada ya michango yote iliyokusanywa kuisha kabisa. Jipange tena uje kivingine brother LAPF ni bab kubwa na mtaendelea kusoma namba maana kila mahali LAPF LAPF LAPF LAPF LAPF nasubiri walimu wenzangu niwashawishi kwa Facts sio porojo kama za kwako unakuja na graph zinazokuua mwenyewe
 
Mfuko ukitumia faida ya uwekezaji kulipa mafao ni hatari Pandian soma Insurance Principles na Soacial Security Principles
 
Walimu watajiunga vipi LAPF wakati wao si makarani wala maakida? Ningekuwa mwalimu ningejiunga na PPF, PSPF au GEPF
 
Someni nyie wenye vihere here dume la Mifuko ya Penshen LAPF kama kawa limewapiga Mapwente yote kama inavyoonekana LAPF 31 .PSPF 10.PPF 6.GEPF.1 NSSF1 OUT OF 49 NEW EMPLOYEES CRDB. Huu ni mfuko bora ripoti mbali mbali za CAG na PAC zilithibitisha hilo ninyi endeleeni na majungu na nitawashawishi walimu wenzangu wote waje LAPF maana naskia nyie hata huo mkopo wa kujikimu ni kiini macho hamtoi wala nini uongo uongo tu mikopo yenu ya elimu eti tukakope Benki ya Posta hamtupati ng'o
 
Kalale wewe umeishiwa hoja we utakua PSPF Staff sio bure hivi ninyi ni nani aliyewaloga mnadhani hii ndo itakuwa njia raisi ya kutupata walimu? Ss graduates mkawadanganye wengine
 
Umebaki mwenyewe tu wenzako wa lapf wameshaujua ukweli. Hiyo diploma yako ya insurance rudi shule. Core business ya pension fund sio kuuza mikopo kwa wanachama ndio mana wenzenu pspf wenye akili wanapeleka hilo jukumu kwa financial institution. Ungekuwa Umesoma finance, economics ama business administration ungenielewa. Wenye utaalam wa kuuza loans, kurecover n.k ni financial institutions sio pensions funds. Unavyowaona pspf wamewapa hilo jukumu postal bank maana yake ni hiyo ili wao wabaki na core business yao ya pension. Kwa kuwa mna akili ndogo mmesahau kwamba PSPf huwa wanaanzisha vitu lapf mnakopi. Walianzisha mikopo ya wastaafu na benki ya posta baada ya mwaka na nyie mkaiga. Kwa kuwa hujui ngoja nikupe darasa. Mkopo wa wastaafu wa lapf mliokopi kwa wenzenu pspf unapitia benki ya posta. Semeni mkopo wa elimu mmekosa benki ya kuwauzia, uwezo wenu bado mdogo.
 
Tanzania Postal Bank

Fungua hiyo link ya postal bank hapo juu ujifunze tofauti ya benki na pension fund. Mikopo ya members wenu mnatakiwa kuyapelekea mabenki. Msije ukadhani sisi tulio ktk sekta zingne hatujui mnavyo operate. Ukijdai mjuaji utaibua mjadala mpya wa uhalali wa lapf kama pension fund kuuza mkopo wa elimu. Mtafungiwa na huyo Mdhibiti wenu bora ukae kimya.
 
We huna hoja nenda kajipange upate wanachama next time LAPF bado uko juu hawana maneno sana anasumbua ni actions kwenda mbele
 
Kufanya kazi LAPF ni one way ticket ya jehanamu kwa dhambi ya uongo...
 
Back
Top Bottom