LAPF Aptitude test: msaada kwa wale ambao walishafanya Aptitude test LAPF

LAPF Aptitude test: msaada kwa wale ambao walishafanya Aptitude test LAPF

Je!! Unafikiri kuomba msaada Wa information sio sawa?

  • Total voters
    19
ukweli ni kwamba kweli kuna magumash mengi sana..mie ningekua mkoa nisingepoteza hata nauli..ila kwasababu nipo mtaa wa pili wa DUCE apa..afu wameita siku ya muungano, so nikua sina issue yoyote nikasema niende nikashangae watu na tu apptitude
ila wala sinaga matumaini na hizi mambo za hawa jamaa wa vimemo..
napataga moyo tu kwenda kuwasumbua nami nijaze makaratas yao kama walivyonijaza bahasha yangu wakat naomba
na kuwapa wasimamiz kaz ya kunikodolea maana nakua kama mwizi kule...
 
Hivi ni kweli na Dodoma nako walifanya hizi intavyuu jana Muungano day??
 
Mtihani wa kipuuzi sana. Hauwezi kutenganisha mchele na chuya. Wengine wanazungumzia cheating kwa sababu ya usimamizi na ulivyoundwa. Kwanini hizo kazi wasipewe proofessional. Mwingine anasema ni watu elfu 4. Is that short listing?
 
Wise.
 
Ebana majibu wakitoa tupeni hapa !!

Some of us are still hopeful hahaha!!

Adiós
 
Angalia eti hawa ndio wasomi tunaowategemea kufanya mageuzi ktk jamii wanamoishi. Hawana . Hawana mbadala nje ya kuajiriwa. Poor you!
 
Back
Top Bottom