Majina kitu gani hasa kama umefanya mazuri hata usipoandikwa popote wananchi watakuandika mioyoni mwao na hautafutika.Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi sana zilizopewa majina ya Nyerere lakini naona kama kuna viongozi wanaosahauliwa kabisa.
Karume (Muasisi wa Zanzibar ya leo) zaidi ya kuwa na ule uwanja wa Karume ambao zamani ulikuwa uwanja wa Ilala, na mitaa midogomidogo na shule za msingi huko mikoani, sidhani kama kuna landamark kubwa ya kumuenzi. Kwa vile huyu alikuwa baharia, ningeshauri mojawapo ya bandari zetu iitwe Bandari ya Karume
Aboud Jumbe (huyu alikuwa makamu wa rais effective sana ila alikosea kidogo tu) hana landamark yoyote ya kumkumbuka. kwa vile yeye alitumia sehemu kubwa sana ya maisha yake Kigamboni, ningeshauri lile jimbo la kigamboni liitwe Kwa Jumbe
Mwinyi (Rais wa ruksa) amewekwa kwenye barabara ile iliyokuwa ikiitwa Bagamoyo road, na labda uwanja wa mpira wa mkoa wa Tabora tu. Hizo landmarks siyo kubwa sana kwa hadhi yake, na hivyo ningeshauri aongezewe kwenye list. Kwa vile yeye alihimiza sana biashara kwa kutumia falsafa ya Ruksa, ningeshauri jengo la wizara inayohusika na biashara hapo Dodoma liitwe Mwinyi House.
Angalu jina la Mkapa liko kwenye landamark kubwa mbili- daraja kubwa sana la Rufiji na stadium kubwa sana Tanzania; hakuna ulazima wa kuongeza landmark nyingine kwa jina la Mkapa.
Kikwete anaenziwa labda na taasisi ya Moyo ya Kikwete hapo Muhimbili, lakini nadhani anastahili kueziwa zaidi hasa katika jithada zake za kusambaza elimu nchini chini ya sera za sekondari za kata na UDOM. Ningeshauri kile chuo Kikuu cha Dodoma alichokiasisi yeye kiitwe Kikwete University of Dodoma (KUDOM).
Halafu tuwe na sheria inayoweka limit ya kutumia jina moja kwenye major landmarks; yaani jina moja lisitumike katika landmarks kubwa zaidi ya tatu au nne hivi. Mitaa midogo midogo pamoja majina ya vitongoji na shule za msingi siyo landmarks kubwa; hivyo havitaguswa na sheria hiyo.
Mengine yataongezewa kadri muda na matukio yanavyoruhusu
Hujajibu mada; nadhani na wewe unaongea kwa hisia tu. Unajuwa kuwa iwapo zile kanuni za Newton hazingepewa jina lake kweli wewe leo ungekuwa na unajua kuwa kulikuwa na kijana anaitwa Newton? Au kama jina la malkia Victoria lisingepewa ziwa letu ungekuwa unajuwa kuwa kulikuwa na malkia Victoria?Majina kitu gani hasa kama umefanya mazuri hata usipoandikwa popote wananchi watakuandika mioyoni mwao na hautafutika.
Chuo Kikuu cha Dr es Salaam siyo vizuri kukibadilisha jina kwa kuwa hilo limeshatambuliwa kwa zaidi ya miaka 50 sasa, lakini sioni ubaya kubadilisha jina la Chuo cha Dodoma ambacho bado ni kipya tu. Chuo cha Sokoine Morogoro kilipohamishwa kutoka Kitivo cha Kilimo cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kilikuwa kinaitwa Chuo Kikuu cha Kilimo Mororogoro, baada ya kifo cha Sokoine kikabadilishwa jina na kupewa jina hili la Sokoine. Juzi juzi tu hata huko Ujerumani wambedilisha jina la mtaaa kutoka Von Wismann kuwa Lucy Lameck, kwa hiyo kubadilisha majina siyo jambo la ajabu, mradi kuwe na utaratibu mzuri wa kufanya hivyo bila kuathiri historia.
Sikuandika mahali popote kwenye bandiko hilo kwamba "... kubadilisha jina ni jambo la ajabu," hii sijui umeiokota wapi.Juzi juzi tu hata huko Ujerumani wambedilisha jina la mtaaa kutoka Von Wismann kuwa Lucy Lameck, kwa hiyo kubadilisha majina siyo jambo la ajabu,
Shule uliyosoma inabidi uwashitaki wakurudishie karo yako kama ulilipia elimu yako!Sikuandika mahali popote kwenye bandiko hilo kwamba "... kubadilisha jina ni jambo la ajabu," hii sijui umeiokota wapi.
Nadhani msukumo uliokufanya upapatike ni hilo jina la "Lucy Lameck" na huo mtaa wa "Von Wismann."
Wewe umegeuka kuwa mpuuzi mkubwa ndani ya jukwaa hili siku hizi.Shule uliyosoma inabidi uwashitaki wakurudishie karo yako kama ulilipia elimu yako!
Siyo mara yako ya kwanza kunichokoza! Wewe ni aina ya watu wanaosoma mtu gani kaandika nini badala ya kusoma mada zilizoko mbele yao. Hiyo imekupumbaza sana akili kwa sababu unaelemewa na halo effects na anchoring biases.Wewe umegeuka kuwa mpuuzi mkubwa ndani ya jukwaa hili siku hizi.
Huo uzee umekumaliza kwelikweli, maanake unaandika mambo ya ajabu ajabu tu.
Nilishakupa ushauri siku nyingi ukimbilie hospitalini, siku hizi hata hiyo "Aizheimers" wana njia ya kuipozapoza isiendelee kukudidimiza zaidi.
Ndio, uko sahihi. Nikisoma yaliyoandikwa ni lazima pia niwe na kumbukumbu ya mtu aliyeyaandika, sioni tatizo lolote hapo.Siyo mara yako ya kwanza kunichokoza! Wewe ni aina ya watu wanaosoma mtu gani kaandika nini badala ya kusoma mada zilizoko mbele yao. Hiyo imekupumbaza sana akili kwa sababu unaelemewa na halo effects na anchoring biases.
Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi sana zilizopewa majina ya Nyerere lakini naona kama kuna viongozi wanaosahauliwa kabisa.
Karume (Muasisi wa Zanzibar ya leo) zaidi ya kuwa na ule uwanja wa Karume ambao zamani ulikuwa uwanja wa Ilala, na mitaa midogomidogo na shule za msingi huko mikoani, sidhani kama kuna landamark kubwa ya kumuenzi. Kwa vile huyu alikuwa baharia, ningeshauri mojawapo ya bandari zetu iitwe Bandari ya Karume
Aboud Jumbe (huyu alikuwa makamu wa rais effective sana ila alikosea kidogo tu) hana landamark yoyote ya kumkumbuka. kwa vile yeye alitumia sehemu kubwa sana ya maisha yake Kigamboni, ningeshauri lile jimbo la kigamboni liitwe Kwa Jumbe
Mwinyi (Rais wa ruksa) amewekwa kwenye barabara ile iliyokuwa ikiitwa Bagamoyo road, na labda uwanja wa mpira wa mkoa wa Tabora tu. Hizo landmarks siyo kubwa sana kwa hadhi yake, na hivyo ningeshauri aongezewe kwenye list. Kwa vile yeye alihimiza sana biashara kwa kutumia falsafa ya Ruksa, ningeshauri jengo la wizara inayohusika na biashara hapo Dodoma liitwe Mwinyi House.
Angalu jina la Mkapa liko kwenye landamark kubwa mbili- daraja kubwa sana la Rufiji na stadium kubwa sana Tanzania; hakuna ulazima wa kuongeza landmark nyingine kwa jina la Mkapa.
Kikwete anaenziwa labda na taasisi ya Moyo ya Kikwete hapo Muhimbili, lakini nadhani anastahili kueziwa zaidi hasa katika jithada zake za kusambaza elimu nchini chini ya sera za sekondari za kata na UDOM. Ningeshauri kile chuo Kikuu cha Dodoma alichokiasisi yeye kiitwe Kikwete University of Dodoma (KUDOM).
Halafu tuwe na sheria inayoweka limit ya kutumia jina moja kwenye major landmarks; yaani jina moja lisitumike katika landmarks kubwa zaidi ya tatu au nne hivi. Mitaa midogo midogo pamoja majina ya vitongoji na shule za msingi siyo landmarks kubwa; hivyo havitaguswa na sheria hiyo.
Mengine yataongezewa kadri muda na matukio yanavyoruhusu
Jambo la kuweka kumbukumbu ni zuri sana lakini hawa tunaowaenzi na kuweka majina yao kwenye madaraja nk nafikiri kwa mawazo yangu hili lisiwe jambo la kukurupuka mtu apewe kutokana na uadilifu wake na alichofanya kwa taifa.Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi sana zilizopewa majina ya Nyerere lakini naona kama kuna viongozi wanaosahauliwa kabisa.
Karume (Muasisi wa Zanzibar ya leo) zaidi ya kuwa na ule uwanja wa Karume ambao zamani ulikuwa uwanja wa Ilala, na mitaa midogomidogo na shule za msingi huko mikoani, sidhani kama kuna landamark kubwa ya kumuenzi. Kwa vile huyu alikuwa baharia, ningeshauri mojawapo ya bandari zetu iitwe Bandari ya Karume
Aboud Jumbe (huyu alikuwa makamu wa rais effective sana ila alikosea kidogo tu) hana landamark yoyote ya kumkumbuka. kwa vile yeye alitumia sehemu kubwa sana ya maisha yake Kigamboni, ningeshauri lile jimbo la kigamboni liitwe Kwa Jumbe
Mwinyi (Rais wa ruksa) amewekwa kwenye barabara ile iliyokuwa ikiitwa Bagamoyo road, na labda uwanja wa mpira wa mkoa wa Tabora tu. Hizo landmarks siyo kubwa sana kwa hadhi yake, na hivyo ningeshauri aongezewe kwenye list. Kwa vile yeye alihimiza sana biashara kwa kutumia falsafa ya Ruksa, ningeshauri jengo la wizara inayohusika na biashara hapo Dodoma liitwe Mwinyi House.
Angalu jina la Mkapa liko kwenye landamark kubwa mbili- daraja kubwa sana la Rufiji na stadium kubwa sana Tanzania; hakuna ulazima wa kuongeza landmark nyingine kwa jina la Mkapa.
Kikwete anaenziwa labda na taasisi ya Moyo ya Kikwete hapo Muhimbili, lakini nadhani anastahili kueziwa zaidi hasa katika jithada zake za kusambaza elimu nchini chini ya sera za sekondari za kata na UDOM. Ningeshauri kile chuo Kikuu cha Dodoma alichokiasisi yeye kiitwe Kikwete University of Dodoma (KUDOM).
Halafu tuwe na sheria inayoweka limit ya kutumia jina moja kwenye major landmarks; yaani jina moja lisitumike katika landmarks kubwa zaidi ya tatu au nne hivi. Mitaa midogo midogo pamoja majina ya vitongoji na shule za msingi siyo landmarks kubwa; hivyo havitaguswa na sheria hiyo.
Mengine yataongezewa kadri muda na matukio yanavyoruhusu
Absoutely hatuwezi kuendelea kwa staili hii tuliyonayo.Nyerere kawekwa kwenye landmarks kubwa zenye impact kubwa nyingi kupita kiasi na ndiyo maana nikafikiri kuwa tuwe na sheria inayoweka limit ya matumizi ya jina kwenye landmarks za kitaifa.
Halafu majina hayo yasibadilishwe kiholela; kwa mfano wa Uwanja wa ndege wa Houstona ulikuwa unaitwa Kennedy Intentional Airport (kwa heshima ya JFK), lakini baadaye kwa sababu za kisiasa kwa madai ya kujiweka tofauti na JFK International Airport ya New York, ulibadilishwa kinyeji tu kwa kufuta jina la Kennedy hadi baadaye wakauita George HW Bush International Airport.
Kuwa na sheria nzuri inayosimamia majina ya landmarks kutazuia mitarafuku ya aina hiyo.
Uwanja ule unaoitwa Amri Abeid pale Arusha ni kwa heshima ya Amri Abeid Kaluta ambaye alikuwa mshairi maarufu sana Tanzania, jina hilo halina uhusiano na Karume. Hata Dar es Salaama kulikuwa na mtaa wa Kaluta kwa sababu hiyo hiyo iwapo haujabadilishwa; ni kama ambavyo Shaaban Robert alivyoenziwa kwa jina la shule ya sekondari pamoja na barabara mojawapo hapo Dar.Uwanja wa mpira arusha unaitwa karume
Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi sana zilizopewa majina ya Nyerere lakini naona kama kuna viongozi wanaosahauliwa kabisa.
Karume (Muasisi wa Zanzibar ya leo) zaidi ya kuwa na ule uwanja wa Karume ambao zamani ulikuwa uwanja wa Ilala, na mitaa midogomidogo na shule za msingi huko mikoani, sidhani kama kuna landamark kubwa ya kumuenzi. Kwa vile huyu alikuwa baharia, ningeshauri mojawapo ya bandari zetu iitwe Bandari ya Karume
Aboud Jumbe (huyu alikuwa makamu wa rais effective sana ila alikosea kidogo tu) hana landamark yoyote ya kumkumbuka. kwa vile yeye alitumia sehemu kubwa sana ya maisha yake Kigamboni, ningeshauri lile jimbo la kigamboni liitwe Kwa Jumbe
Mwinyi (Rais wa ruksa) amewekwa kwenye barabara ile iliyokuwa ikiitwa Bagamoyo road, na labda uwanja wa mpira wa mkoa wa Tabora tu. Hizo landmarks siyo kubwa sana kwa hadhi yake, na hivyo ningeshauri aongezewe kwenye list. Kwa vile yeye alihimiza sana biashara kwa kutumia falsafa ya Ruksa, ningeshauri jengo la wizara inayohusika na biashara hapo Dodoma liitwe Mwinyi House.
Angalu jina la Mkapa liko kwenye landamark kubwa mbili- daraja kubwa sana la Rufiji na stadium kubwa sana Tanzania; hakuna ulazima wa kuongeza landmark nyingine kwa jina la Mkapa.
Kikwete anaenziwa labda na taasisi ya Moyo ya Kikwete hapo Muhimbili, lakini nadhani anastahili kueziwa zaidi hasa katika jithada zake za kusambaza elimu nchini chini ya sera za sekondari za kata na UDOM. Ningeshauri kile chuo Kikuu cha Dodoma alichokiasisi yeye kiitwe Kikwete University of Dodoma (KUDOM).
Halafu tuwe na sheria inayoweka limit ya kutumia jina moja kwenye major landmarks; yaani jina moja lisitumike katika landmarks kubwa zaidi ya tatu au nne hivi. Mitaa midogo midogo pamoja majina ya vitongoji na shule za msingi siyo landmarks kubwa; hivyo havitaguswa na sheria hiyo.
Mengine yataongezewa kadri muda na matukio yanavyoruhusu
Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi sana zilizopewa majina ya Nyerere lakini naona kama kuna viongozi wanaosahauliwa kabisa.
Karume (Muasisi wa Zanzibar ya leo) zaidi ya kuwa na ule uwanja wa Karume ambao zamani ulikuwa uwanja wa Ilala, na mitaa midogomidogo na shule za msingi huko mikoani, sidhani kama kuna landamark kubwa ya kumuenzi. Kwa vile huyu alikuwa baharia, ningeshauri mojawapo ya bandari zetu iitwe Bandari ya Karume
Aboud Jumbe (huyu alikuwa makamu wa rais effective sana ila alikosea kidogo tu) hana landamark yoyote ya kumkumbuka. kwa vile yeye alitumia sehemu kubwa sana ya maisha yake Kigamboni, ningeshauri lile jimbo la kigamboni liitwe Kwa Jumbe
Mwinyi (Rais wa ruksa) amewekwa kwenye barabara ile iliyokuwa ikiitwa Bagamoyo road, na labda uwanja wa mpira wa mkoa wa Tabora tu. Hizo landmarks siyo kubwa sana kwa hadhi yake, na hivyo ningeshauri aongezewe kwenye list. Kwa vile yeye alihimiza sana biashara kwa kutumia falsafa ya Ruksa, ningeshauri jengo la wizara inayohusika na biashara hapo Dodoma liitwe Mwinyi House.
Angalu jina la Mkapa liko kwenye landamark kubwa mbili- daraja kubwa sana la Rufiji na stadium kubwa sana Tanzania; hakuna ulazima wa kuongeza landmark nyingine kwa jina la Mkapa.
Kikwete anaenziwa labda na taasisi ya Moyo ya Kikwete hapo Muhimbili, lakini nadhani anastahili kueziwa zaidi hasa katika jithada zake za kusambaza elimu nchini chini ya sera za sekondari za kata na UDOM. Ningeshauri kile chuo Kikuu cha Dodoma alichokiasisi yeye kiitwe Kikwete University of Dodoma (KUDOM).
Halafu tuwe na sheria inayoweka limit ya kutumia jina moja kwenye major landmarks; yaani jina moja lisitumike katika landmarks kubwa zaidi ya tatu au nne hivi. Mitaa midogo midogo pamoja majina ya vitongoji na shule za msingi siyo landmarks kubwa; hivyo havitaguswa na sheria hiyo.
Mengine yataongezewa kadri muda na matukio yanavyoruhusu
Is it illogical or it does not sound good. The logic of naming any institution using names of living or dead persons is common all over the world, so calling it illogical does not make sense. Look at these: George Washington University, Sokoine University of Agriculture, James Madison University, Moi University, Kenyatta University, Yale University, Stanford Unievrsity, and the list goes on!Kikwete University of Dodoma (KUDOM) is illogical. Labda utuambie kama kuna Kikwete University mahali pengine, e.g., Mtwara, Tabora, Kagera au mahali pengine!
Is it illogical or it does not sound good. The logic of naming any institution using names of living or dead persons is common all over the world, so calling it illogical does not make sense. Look at these: George Washington University, Sokoine University of Agriculture, James Madison University, Moi University, Kenyatta University, Yale University, Stanford Unievrsity, and the list goes on!
Probably I could have suggested calling it "Kikwete University at Dodoma" instead of "of Dodoma", but still it is to do with honoring him as the founder of that institution; and it is open for discussion.