Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,529
- 2,969
Kina Kinjekitile na Bw Heri wangepewa majina ya Ngome za kijeshiWell said Kichuguu, siku hizi watu wakiraka kujustify white elephants projects wanazipa jina la Nyerere
Tuna wazee wetu wa kale kabisa akina Mkwawa, Kinjekitile, Machifu wengi tu akiba Rumanyika, Songea, Marealle, Abushiri na wengineo wengi huoni wakienziwa, kila kitu kizuri kinaitwa jinala Nyerere.
1. uwanja wa ndege wa JKN
2. Bwawa la umeme la JKN
3.Ukumbi wa mikutano wa JKN
4. Uwanja wa Kambarage
5. Chuo cha Nyerere (Kivukoni)
6. Daraja la Nyerere (Kigamboni)
7. Barabara ya Nyerere(Pugu road)
8. Campus ya Mwalimu Nyerere (UDSM)
...
..
Na mengine mengi
Ina maana sisi kama Taifa tuna uhaba wa heroes wa kuenzi majina yao?