Landcruiser 80 generation, Gasoline/Petrol ni ugonjwa wa moyo!




Hii moja ya juu ni petrol gia tatu zinafunguka balaa ingawa za zamani sasa hivi huwezi kuzipata.
hii ya chini ndio niliojifunzia udereva lilikuwepo hom haya magari hayana pawastering yaani na breki ya hili gari letu ilikuwa ya kubangaiza.ni shida napenda sana hizi gari
 
Watu wakituma picha kama hizi watu wenye vigari vidogo dogo hulazimika kuvifunika maturubai wakiulizwa wamefunika nini wanasema magunia ya mahindi
Nimecheka saana man,,,,,,,kiukweli kama uwezo unakuwepo....haya ndiyo magari yenye uwakika saana hasa katika shughuri zetu kiafrika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…