LAKINI, hiyo shombo amletea nani?

Ruta shombo nayo ikizidi sana huwa uvundo na uvundo ukikomaa huwa uozo...................hapo sasa kaaazi kwelikweli
 
Rutashubanyuma Eti we are worried about Shombo?????!!!!!!.....
Vipi kile kilichoingia na kuzama mwilini, tunakiitaje?
Maana hicho kina madhara kuliko hilo shombo au harufu!
Chaweza kuleta kiumbe, ingawa mwasema kitanda hakizai haramu!
Chaweza leta maradhi, ingawa mwasema binadamu kaumbiwa matatizo! au Hujafa hujaumbika!
Chaweza leta kifo, ingawa mwasema kila nafsi itaonja mauti!
 
Last edited by a moderator:
kweli duniani kuna mambo ila kikubwa nikusimamia maandiko matakatifu nje ya hapo shombo haiwezi kuisha kwa wanawake na wanaume hata kwa wapenzi maana dunia ya leo ni money first mengine yatafuata mbeleni na matokeo yake shombo(HIV) ina ingia kwenye familia na haikomei hapo inaingilia hata watoto wanaoachwa wanakuwa omba omba kutokana na kukosa malezi ya wazazi tuongopeni hii shombo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom