Lakini hii TRUVADA sasa yamtia kiwewe na kumletea kifaduro……….

lemonade do you trust TRUVADA?

TRUVADA is not a magic bullet, at all...............bado hata ukiitumia utahitaji condoms kwa sababu yenyewe siyo 100% kinga na bado kuna ovarian cancer, hepatitis all types, kaswende na gono kama hutumii kondomu.............otehr std etc...........life is not easier for quickies lovers..........

My point exactly................kwa haraka ukisikia unajikuta na matumaini makubwa, lakini looking deeper hutaona wapi watu wataangamia kwa kukosa maarifa
 
tayari tumeshakufa tumebakia kuzikwa,truvada yenyewe bei kubwa watanunua wakubwa tu sie huku chini hata kwa babu kwa sh 500 tulishidwa kwenda.ivi babu wa loliondo yupo jamani na kakikombe kanaendelea au kasitisha huduma?
 
TRUVADA is not a magic bullet, at all...............bado hata ukiitumia utahitaji condoms kwa sababu yenyewe siyo 100% kinga

Mkuu thanx for the note, kama bado theory za kwamba AIDS ilitengenezwa maabara na hao wazungu kwa ajili ya kupunguza ongezeko la watu haswa nchi za dunia ya ya tatu zinazagaa..sitakaa niamini kwamba kinga au tiba ya kweli itatoka kwao kwa maana lengo lao ni endelevu.
Bila ya sisi wenyewe kujizatiti kukabiliana nalo kwa njia zozote zile iwe kwa kutafuta kinga au tiba..sitegemei Mzungu afanye kwa niaba yetu..!

Mapambano dhidi ya UKIMWI yaendelee daima..Tutaweza kuutokomeza tukiwa na nia moja dhabiti!
 
Kyaiyembe kwa wale ambao tayari wanatumia ARVs na hawazitumii vizuri au kwa yale matumizi holela kinga yao huteremka hadi 44% kwa wale ambao kamwe hawajawahi kutumia ARVs au wamekuwa wakizitumia ipasavyo kinga yao hupanda hadi 90% kwa hiyo...............as happy we are about this new invention it is not a magiz bullet, at all there is still a chance we get hit by vvu..........................
ujue Rutta,hivi ARV's tushukuru zipo na zinasaidia kurefusha maisha,lakini on the other hand wapo wanaozitumia,matokeo yake wananenepa na kunawiri na kisha kuusambaza hovyo,tusali tu na kuomba.
 
Bishanga wasichojua nao wanaambukizwa na starins mpya ambazo hawakuwa nazo na khali yao huishia kuwa mbaya..............
 
Last edited by a moderator:
truvada jamani ina shida gani??? ni dawa nzuri tu ya ukiwmwi

TIMING shida ni pale inapokuwa mtaji wa kuchakachuana bila ya mipangilio...............
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inasemaje kwani
lOwofxpcr+OsrfatpNnqMPAlu9bRXkKWRwAgaDgxB+BYE3fowROG8MAgCSkJWWDgkAACH5BAkTAAAALBAABAADAAwAAAMPeEPXMCCOExWg8Q0In4wJACH5BAkTAAAALBAABAADAAwAAAMOeETX8GCA8460T8qY4UsAIfkEBRMAAAAsEAAEAAMADAAAAw54RDcHA0gHG7Bw5h1BAgA7

kichomiz kuhusu nini?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu thanx for the note, kama bado theory za kwamba AIDS ilitengenezwa maabara na hao wazungu kwa ajili ya kupunguza ongezeko la watu haswa nchi za dunia ya ya tatu zinazagaa..sitakaa niamini kwamba kinga au tiba ya kweli itatoka kwao kwa maana lengo lao ni endelevu.
Bila ya sisi wenyewe kujizatiti kukabiliana nalo kwa njia zozote zile iwe kwa kutafuta kinga au tiba..sitegemei Mzungu afanye kwa niaba yetu..!

Mapambano dhidi ya UKIMWI yaendelee daima..Tutaweza kuutokomeza tukiwa na nia moja dhabiti!

Iza tuko pamoja....charity begins at home.............
 
Back
Top Bottom