Lakini hii TRUVADA sasa yamtia kiwewe na kumletea kifaduro……….

tayari tumeshakufa tumebakia kuzikwa,truvada yenyewe bei kubwa watanunua wakubwa tu sie huku chini hata kwa babu kwa sh 500 tulishidwa kwenda.ivi babu wa loliondo yupo jamani na kakikombe kanaendelea au kasitisha huduma?

ummu kulthum babu wa Loliondo ni tapeli sasa shukuru hata hukujipotezea muda na kwenda kule mbako wengi hivi sasa wanajutia muda na mafao yao mengine huku khali zao zikiendelea kuwa mbaya sana................na wengineo tayari tumekwisha kuwapumzisha.......tunapaswa kuishi kwa kupangilia mambo yetu ili tuishi raha mustarehe na tusikabli wengineo in name of love or whatever kutupangia mauti yetu...........
 
Last edited by a moderator:
tayari tumeshakufa tumebakia kuzikwa,truvada yenyewe bei kubwa watanunua wakubwa tu sie huku chini hata kwa babu kwa sh 500 tulishidwa kwenda.ivi babu wa loliondo yupo jamani na kakikombe kanaendelea au kasitisha huduma?

ummu kulthum unaweza kukuta babu wa loliondo naye huchanganya TRUVADA kwenye mataputapu yake....................
 
Bishanga, inakuhu wakiusambaza?

yawezekana na wewe ni mmoja wa wanaousambaza. Ukiangalia sehemu kubwa ya wanaousambaza wametarget vijana. Sasa sisi vijana unadhani tutapona? Maana hata ukiwa kwenye ndoa na mwaminifu watarubuni mke wako tu! Tuombe tu tuepushwe na tamaa za dunia hii
 
Last edited by a moderator:
Kula mchicha ukue Nyalotsi hasa kwa sentesi yako ya mwanzo.

Ukiupata unakunywa dawa period!

Kongosho unaongea mambo ambayo bado hayajakukuta......................waathirika wanalalamika hizi dawa ni mbaya sana...tumbo huwasumbua na matatizo ya figo yamewaharakisha wengi makaburini........hakuna majibu mepesi ya kutumia dawa zaidi ya kulinda afya yako.......
 
Last edited by a moderator:
TRUVADA inakuja kutuharibu.

Sasa ndo inaachia brake zile ambazo zilishafeli japo zilikuwa zinalazimishwa kukanyaga.
 
Truvada ni dawa za kudhibiti ukimwi na huwa ina 2combination.Huwa inatumika kwa kuchanganya na nyingine moja ili combination ziwe 3.Dawa za kudhibiti hiv lazima ziwe 3 kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom