afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,728
na huwezi kuwa
Habari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
Kwahiyo mnataka kufanyiwa tu utafiti, nyie hamtaki kufanya tafiti. Tatizo mnapenda sana kufungua miguu
Ukimchunguza Bata huwezi kumla!Habari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
hahaha, na somo lote hili bado tuu hujaelewa ndugu yangu. Tulia na ufanye assessments kwa faida yako. All the best
ndo maana yake
izaaaa, munanso muzaaa, itabidi nitafute na note book. Hii inaweza kua chance ya kujifunza kisingapore
Habari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
wewe research yako itakua ni bias aisee
izaaaaa, mbiiii kwasho?
ndo maana majanga daily aisee
Mulaile izaa lakin? Halafu kukimana se izaa ne kate
findings zangu za research zitakuvuruga zaidi ya ile ya twaweza ilivyonivuruga
wanawake bwana ndo wanaumizwa daily. Kila nayekutana nae kaumizwa. Tena wengine wanaambiwa live kua sikukuchunguza vizuri nilipokufuata bora kila mtu kivyake.moyo wa mdada mara nyingi ni weak sana pale anapofuatwa na kaka mwenye vigezo vyote avipendavyo dada na ndio maana wadada wengine nao wanakurupuka kukubali. Nyie ndio mtusaidie kwa kufanya assessments ili mkija muwe full
Kitu ambacho inabidi uelewe ni kwamba ninyi wanawake tunawaona wa ajabu pia. Mkipendwa sana na mtu akawajali huwa hamna appreciation. Unaweza kuta mnaaza vizuri na mwanamke na akishazoea treatment yako nzuri unayompa hata heshima inapungua na kupitiliza. Hii hupelekea wanaume kukata tamaa na kuwatema. Hili tatizo liko kwa wanawake wengi labda niseme 9 kati ya 10. Wanaume ambao wamekuwa wakatili ndio wanadumu kwenye ndoa. Mi hapo huwa inanishangaza kwamba labda hiyo ndo njia ya kukaa ma mke.
Izaa duu mntua, kokole kwaapanga duh! Mlamkye mnanso
udaile yaaani, au umelongola kulala?
Dear Wisher.
You might walk a mile in a man's shoes, but you won't be able to understand the inner man's blues. So let a man be. 'steada worrying about what a man should do, worry about what you should do. It's everybody's responsibility to make the world a better place for everybody, don't just put it all on us. Sincerely.
A man.