Laiti ningekua mwanaume...

Laiti ningekua mwanaume...

OOh sawa ila natahadhalisha asije hapa Heaven Sent akaanza kulalamika hajasali na kufanya detail assessment juu yako....All the best
Separation shall never be our portion. Our union is purely made in heaven as tulimshirikisha Mungu kikamilifu. So tuombee tu mpendwa ili mapenzi ya Mungu yazidi kutimizwa kwetu
 
Last edited by a moderator:
Yani mpendwa Kila nikiangalia/kusikiliza testimony za watu wengi, mara nyingi wanawake ndo huwa wanafungua vifungo vya ndoa zao. Nabaki tu kujiuliza sijui Ntaweza kuwa kama hao wanawake wa mfano. Mungu atusaidie wanawake kwa sababu hatima ya ndoa zetu ipo mikononi mwetu

Amini utaweza mpendwa,kikubwa ni shauku ya kua kama hao,tutamani na kukazana katika maombi familia/ndoa zetu ziwe miongoni mwa nusu paradiso.

Tukiacha kuchukulia mambo kiwepesiwepesi tunaweza kujenga familia bora sana
 
Assessment hufanywa na kichwa cha JUU, mahusiano huendeshwa na kichwa cha chini! Huo ndio ugumu uliopo
 
Separation shall never be our portion. Our union is purely made in heaven as tulimshirikisha Mungu kikamilifu. So tuombee tu mpendwa ili mapenzi ya Mungu yazidi kutimizwa kwetu

Naona mambo yameshakuwa mambo...nitakuwa mhamasishaji wako sisy darl.
Fanyeni haraka muingie kwenye mbingu ya duniani, karibuni sana...
 
MNANSO
Wanaume wengi tunapenda mabinti wanaojiheshimu tatizo lenu nyie mabinti hampendi wanaume wanaojiheshimu so me naona hakuna haja ya kuchunguzana na hasa kwa kizaz hich cha maigizo
 
Last edited by a moderator:
Dah Eti Unatamani kuwa mwanaume!!!! Hivi kweli unadhania uanaume ni kutokukurupuka tu? Kuna mengi Zaidi kutoka kwetu na Sio hilo moja.. Siku Yoyote Ukimuona Mwanaume Amekufuata na kukutaka, nawe usikurupuke kukubali maana wote mtakua wakurupukaji.....
 
Habari zenu wakuu,

Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.

Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.

Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.

Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.

Please badilikeni kaka zangu

haukua,hujawa na hautakua mwanaume katu abadan katan
 
Pole sana kwa kuumizwa Dada angu.. Ipo siku utampata aliyesahihi.
 
we mwanamke ukitongozwa jua kidudu kinamuwasha, yatakayoendelea huko mbele baada ya kumpooza kidudu chake ni inshallah
 
Naona mambo yameshakuwa mambo...nitakuwa mhamasishaji wako sisy darl.
Fanyeni haraka muingie kwenye mbingu ya duniani, karibuni sana...

Hahaha thanks much brod darlin for having my back always. Tutakaribia huko soon, maombi yenu tu.
 
Kusubiri consultation ni kama kusubiri maembe yaive huku wenzangu wayala mabichi tena kwa masala!!
 
Habari zenu wakuu,

Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.

Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.

Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.

Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.

Please badilikeni kaka zangu

Mnanso nikwambie kitu kimoja, katika mapenzi hakuna kujiandaa. Mapenzi huja automatically. Ndo mana watu wanapenda makahaba,wezi wengine wanapenda mpaka mateja. Mapenzi majani huota yanapotaka.
 
Unatamani kuwa mwanaume?

Karibu kiumeni ila shughuli utaweza?
 
wote lakini kwanini unifuate kabla hujaomba wala kufanya assessments zozote?

kumchunguza mtu huwa hakuna mwisho, hakuna siku mtu utalizika asilimia 100,
kitendo cha mtu kuja kukuapproach ni jibu tosha kuwa alichunguza akaona aje kwako na sio kwa mwingine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom