Laiti ningekua mwanaume...

Laiti ningekua mwanaume...

unaweza kukaa vizuri sana tu na ukaangukia pua vile vile.
cha muhimu ni kuhakikisha kuwa na wewe huumizi wengine. let love lead
ni jambo jema kua mwanamke decent but usipokaa vizuri unaweza kuangukia kwa mwumizaji
 
Habari zenu wakuu,

Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.

Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.

Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.

Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.

Please badilikeni kaka zangu

Asante kwa ushauri
 
unaona? Kwa style hii ya kutamani tamani majanga hayataisha aisee, wewe umefuata uzinzi unamdanganya binti wa watu unampenda na binti anafungua moyo kwa mtu aliyefuata uzinzi ndio maana wadada wanalizwa daily

Una umri gani wewe? Hivi hujui kuwa mwanaume anaanza kukutamani kwanza then anaanza kukupenda baada either ya kukugegeda au unapokuwa karibu nae kwa kipindi flan? Na na km ingekuwa nikikutamani afu nije nikutamkie MNANSO nimekutamani naomba nikakugegede ungejiskiaje? Ndo maana mnatongozwa na maaana halisi ya kutongozwa ni persuation nakutaamkia maneno mazuri ambaya nawe utashawishika..ni mwanamme mmoja kati ya 1000 ambaye atamwona msichana na akampenda hapo hapo.
 
najivunia sana tena sana. Swali langu kwanini unifuate wakati hujafanya maamuzi sahihi. Jipime nipime ndio unifuate na sio kufanya maamuzi ya harakaharaka kunifuata

Je kama anataka dyudyu tu!!! Unadhani atahitaji kufanya assessment??
 
hakuna lolote dawa yao hao ni kuwadyudyu tu cz ucombe umwoneshe demu unampenda loi dunia utaiona upside down mara uongee peke yako njiani tena akishajua unampenda ndo mama yangu unaweza hama mtaa niulizeni yaliyonikuta unafikiri ntarudia ule upuuzi kamwe.Ila wao wakitendwa wavyotia huruma utafikiri wagonjwa vile.

Nakuuliza yaliyokukuta😉
 
hao viumbe wanaendeshwa na hisia sometimes! pia nasisi wanawake tunavojiweka inachangia wao kushawishika kwa kufikiria kupitia KICHWA KIDOGO badala ya KIKUBWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom