My darlin
MNANSO, siku zote kwenye maisha jifunze kusimama kwenye sehemu yako. This 50/50 myth will never make things better for you, Iwe kwenye dating au marriage. Learn to give your all kwa kile ulichonacho. .. of coz bila kuangalia mwenzako ana contribution kiasi gani, just keep it 100% . It begins with you
Unahitaji mchumba just omba kadri uwezavyo. Kwa sababu hujui huyo mchumba wako yupo wapi na hujui kama anaomba au vipi. The poor idiot might be stuck somewhere na ni maombi yako tu ndo yatakayomkurupusha huko aliko. But ukilegea na maombi, basi mchumba ataendelea kustuck tu huko huko alipo. Na kwa maombi yako basi hata akija mtu ambaye si sahihi kwako, itakuwa rahisi kumgundua
Kukukumbushia tu, mke ndiye anayebeba kusudi la mume wake. Just give your all ili mume wako atimize kusudi ambalo Mungu ameliweka ndani yake. Ndoa/Mahusiano ambayo mwanamke amesimama, mengi yanafanikiwa. Beba mzigo kwa ajili ya uchumba/ndoa yenu na utaona Mungu atakavyojidhihirisha kwenu