Laiti ningekua mwanaume...

Laiti ningekua mwanaume...

ni kwel uliyosema ila mm na mpango wa kufanya revenge, kuna kipind nliumkizwa so ili vodonda vipone lazima 10 seriaz girl walie machoz mazito ya damu. kwa nn kla cku cc wanaume tuumizwe. ukitaka fatilia utakuta asilimia kubwa wanaume ndo wanaumia. akina mama watu wazima wanaumia sana but dada wadogo wana peta. kaka wadogo wanalia, ushajiuliza kwa nn hii?
 
assessments zinafanywa kwa wote but nachotaka ni usinifuate kama bado hujanifanyia assessments

Ili upate uhondo wa kusoma gazeti inabidi ulinunue kwanza au uliazime namaanisha uwe nalo karibu! Na ili umtambue vyema mwanamke lazima umuweke karibu yako ndiyo maana wote tunawahi Kwenye mahusiano baadae ndiyo tunatambuana mapungufu yetu kila mmoja akiwa tayari kukopi ya mwenzake Maisha yanasonga lakini kila mtu akijifanya anajua zaidi ya mwingine mnaishia kugegedana na kutemana na lawama kibao
 
Utafiki unafanyika sana na kwa umakini wa hali ya juu. Lakini tatizo ni kwamba kila lillokuwa na mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa "Try and error".
 
namaanisha fanya assessments za kutosha ukishajiridhisha kua utamuweza huyo binti na weakness zake ndio umfuate sasa, sio kukurupuka halafu baada ya siku mbili unamtema mara anapenda pesa mara ana tabia mbaya.
we unazingua kweli ,kazi yote hyo ya nini au hamjijui kama mda mwngne huwa mnaigiza sanah?? kwanza wewe ndo mwenye kazi hyo ya kufanya assessment koz wewe ndye unayetongozwa.
 
Umepigwa kwa mkopo nini!!! Pile.

Ukiona amekutongoza kwa kukurupuka wewe kataa.
 
Habari zenu wakuu,

Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.

Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.

Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.

Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.

Please badilikeni kaka zangu

Ntakueleza kwanini:

1. Unajuwa mwanamme au mwanamke hawa wote ni binadamau lazima kwanza utambue huu udhaifu (hakuna binadamu mkamilifu).

2. Kuanzisha uhusiano wa kimapenzi ni tofauti sana na unavyoanzisha kitu chochote kwa mfano biashara au kampuni ukitaka kufungua biashara. Nasema hivi kwa sababu hivi ni vitu havina mvuto wa kimapenzi kwaiyo mtu anakuwa na muda wa kutosha kufanya hiyo unayoiita assessment.

3. Inavyoonekana wewe ni mgeni wa mapenzi na hujuwi mapenzi kwa sababu 1 tu. Umeshindwa kujuwa ni wakati gani mtu anaingia katika mahusiano.

4. Mahusiano ya kimapenzi mtu wangu huja kutokana na mvuto wa mtu na mara nyingi moyo wako ndio unakusukuma kumtamani mtu kimapenzi na ikishakutokea hivyo katika moyo wako ndo unamuona mtu sasa anaanza kuchawachawa alimradi tu yule demu awe naye kwenye mahusiano mana huwa si hiari yake tena kuna nguvu ya mapigo ya moyo inamsukuma ambayo hakuna mtu ulimwenguni anaweza kuji-control kwa mwanaume aliye madhubiti lakini.

5. Kwamba baadae hutendana ni sawa mara nyingi hutokea kwa kukinaiana lakini kila mmoja ameshapata haja yake kwa muruwa kabisa ndio hapo sasa jambo dogo hutokea na shetani watu wakatendana ni hali ya kawaida huwa inatokea na ndio mfumo wa maisha kwa sababu sisi binadamu ni dhaifu sana.

6. Sasa hiyo kubadilika nadhan ndo tumuombe Mungu atusaidie tubadilike lakini usitulaumu, wanawake mumeumbika na nyinyi ndio munatupa utulivu, mukipita au kukatisha njia hivi sisi huwa tuna hisia zetu zinaanza kutugonga na ndio maumbile hatuwezi kustop mana tatizo ni moyo ndo wenye shida.

7. Hujawai kuskia mke wa Rais anatembea na mlala hoi? unafkiri kuna hiari apo kuna vitu vinatusukuma ata kwa nyinyi wanawake na huwa hakuna mda wa kufanya assessment mana ukiacha mwenzako anabeba.
 
mpaka umefungua miguu na ''kuumizwa'' ujue alishaku assess kitambo na akaona chances zake za kukutafuna na yatakayojiri baadae zinam favour yeye!
pole kuumizwa na karibu katika ulimwengu wa watu wazima,binti!
 
Mbona ata you girl mnamda wakufanya assessment??
Open your MIND b4 you Open your LEGS.

Kama ujanielewa niPM tuu for more clarification.
 
ishi ukitambua kuna watu vichaa wapo around u usiumize kichwa kulaumu jinsia mungu ana malengo ya kukuumba wewe mwanamke au mwanaume shida ipo pande zote 2 ila msimamo unatoka kwa mwanamke ukiamua kuchezewa utachezewa cha msingi kuish kwenye malengo na mikakat utakayojiwekea thus ol
 
Tabia ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke.huo muda wa kufanya assessment huku kidudu kimesimama unadhani rahisi? Jaribu kuwa mwanaume Kama utaweza

Tatizo ni sisiem ndio imeleta haya yote
 
najivunia sana tena sana. Swali langu kwanini unifuate wakati hujafanya maamuzi sahihi. Jipime nipime ndio unifuate na sio kufanya maamuzi ya harakaharaka kunifuata

Tatizo ni sisiem ndio imeleta haya yote
 
Habari zenu wakuu,

Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.

Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.

Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.

Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.

Please badilikeni kaka zangu

labda kwa msaada km ilivyo kwa mwanamke kumkubali mtu fulan kwa matarajio flan toka kwa mtu hyo,ht mwanaume humfata mwanamke kwa matarajio flan tatzo lenu huwa mnadhan mwanaume kukuaproach ni kuwa labda we unastahili kuliko wengne kwa hyo mnabweteka na hmjishughulish kutafit ni nn kimemleta kwako ss na mwanaume akiona mambo hayako km alivotarajia unategemea nn??? mtaishia kulaum wanaume kla cku wakat hamuwajbik kwny mahusiano yenu,waingereza husema "gravitation is not responsible for people falling in love" there must be a rison,ss as a woman u must find a reason for a man to fall in u! hyo itakusaidia kulinda mahusiano yako!!
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta ila ukitaka kubadilisha jinsia lala dampo siku tatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom