WayOut
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 752
- 173
ni kweli kila mtu ana tabia yake ndio maana tunatakiwa kufanya assessments, je kwa tabia hizi nitaweza kumvumilia?
hakuna asiye weza kubadilika! ww ndio wa kumfanya unavyotaka awe unavyotaka!
ni kweli kila mtu ana tabia yake ndio maana tunatakiwa kufanya assessments, je kwa tabia hizi nitaweza kumvumilia?
Habari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
My darlin MNANSO, siku zote kwenye maisha jifunze kusimama kwenye sehemu yako. This 50/50 myth will never make things better for you, Iwe kwenye dating au marriage. Learn to give your all kwa kile ulichonacho. .. of coz bila kuangalia mwenzako ana contribution kiasi gani, just keep it 100% . It begins with you
Unahitaji mchumba just omba kadri uwezavyo. Kwa sababu hujui huyo mchumba wako yupo wapi na hujui kama anaomba au vipi. The poor idiot might be stuck somewhere na ni maombi yako tu ndo yatakayomkurupusha huko aliko. But ukilegea na maombi, basi mchumba ataendelea kustuck tu huko huko alipo. Na kwa maombi yako basi hata akija mtu ambaye si sahihi kwako, itakuwa rahisi kumgundua
Kukukumbushia tu, mke ndiye anayebeba kusudi la mume wake. Just give your all ili mume wako atimize kusudi ambalo Mungu ameliweka ndani yake. Ndoa/Mahusiano ambayo mwanamke amesimama, mengi yanafanikiwa. Beba mzigo kwa ajili ya uchumba/ndoa yenu na utaona Mungu atakavyojidhihirisha kwenu
It's every imperfect girl's dream to have her other half like you. Can't thank heavens enough for this eternal favor of being your girl.. The heavens has truly blessed me with you darlinAnd they wonder how I got a thing for you, smh! Who wouldn't?! It's high time you met my kin-folks, and soon have my name in yours.

Hahaha Ahsanteee sana mwanakondoo. Ubarikiwe sana mpendwaAmina mama mchungaji...
Yaaani umeongea kikungwi
And they wonder how I got a thing for you, smh! Who wouldn't?! It's high time you met my kin-folks, and soon have my name in yours.
Nyie ni wapenzi? Mbona kama mnatongozana vile?? Mshafanyiana assessment za kutosha each other?It's every imperfect girl's dream to have her other half like you. Can't thank heavens enough for this eternal favor of being your girl.. The heavens has truly blessed me with you darlin![]()
![]()
![]()
![]()
Assessment huku abdala kichwawazi kasimama??? Thubutuuuu
na ningekua nisingemtenda mtoto wa mtu yeyote
Habari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
My darlin MNANSO, siku zote kwenye maisha jifunze kusimama kwenye sehemu yako. This 50/50 myth will never make things better for you, Iwe kwenye dating au marriage. Learn to give your all kwa kile ulichonacho. .. of coz bila kuangalia mwenzako ana contribution kiasi gani, just keep it 100% . It begins with you
Unahitaji mchumba just omba kadri uwezavyo. Kwa sababu hujui huyo mchumba wako yupo wapi na hujui kama anaomba au vipi. The poor idiot might be stuck somewhere na ni maombi yako tu ndo yatakayomkurupusha huko aliko. But ukilegea na maombi, basi mchumba ataendelea kustuck tu huko huko alipo. Na kwa maombi yako basi hata akija mtu ambaye si sahihi kwako, itakuwa rahisi kumgundua
Kukukumbushia tu, mke ndiye anayebeba kusudi la mume wake. Just give your all ili mume wako atimize kusudi ambalo Mungu ameliweka ndani yake. Ndoa/Mahusiano ambayo mwanamke amesimama, mengi yanafanikiwa. Beba mzigo kwa ajili ya uchumba/ndoa yenu na utaona Mungu atakavyojidhihirisha kwenu[/QUOT
Maneno mazuri sana haya. Ukiangalia ni kweli jukumu kubwa linabaki kwetu wanawake tunajukumu kusimamia nafasi zetu ili mambo yaweze kwenda....
Nyie ni wapenzi? Mbona kama mnatongozana vile?? Mshafanyiana assessment za kutosha each other?
OOh sawa ila natahadhalisha asije hapa Heaven Sent akaanza kulalamika hajasali na kufanya detail assessment juu yako....All the bestHahaha. Assessment kitambo sana, Boss. Si unaona tunaongelea the big step.
Humjui mwanaume... Ungemjua usingegeneralizeHabari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
Yani mpendwa Kila nikiangalia/kusikiliza testimony za watu wengi, mara nyingi wanawake ndo huwa wanafungua vifungo vya ndoa zao. Nabaki tu kujiuliza sijui Ntaweza kuwa kama hao wanawake wa mfano. Mungu atusaidie wanawake kwa sababu hatima ya ndoa zetu ipo mikononi mwetuMy darlin MNANSO, siku zote kwenye maisha jifunze kusimama kwenye sehemu yako. This 50/50 myth will never make things better for you, Iwe kwenye dating au marriage. Learn to give your all kwa kile ulichonacho. .. of coz bila kuangalia mwenzako ana contribution kiasi gani, just keep it 100% . It begins with you