Laiti Mkapa, Lowassa, Chenge, Wangekuwa Waislamu!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Hawa watu wamesakamwa na kusemwa sana kwa sababu ya ufisadi wao! Sina nia ya kuwatetea hata kidogo lakini naangalia mambo kwa angle tofauti! Lakini endapo hawa watu wangekuwa Waislamu: Tungeambiwa na watu wenye dini zao kwamba wanasakamwa kwa sababu ya dini zao (Uislamu)! Pia tungeambiwa kuwa hii ni vita dhidi ya uislamu! Tujadili!
 
Umemaliza kuniungia mboga? Njaa inauma
 
Ngoja tuipeleke jukwaa la dini ili huko ndio likajadiliwe......
 
Aha! Nilikuwa cjui...udini udini Tz
Mtu anapoona amekamatwa pabaya kisiasa hukimbilia kudai kuwa anaonewa "kwa sababu ya dini yake!" Mbaya zaidi ni pale wasioelewa hupokea jambo kama lilivyo na kuanza kumtetea mtu "blindly" kwa kuwa "ni wa dini yake!"
 
Kauli hiyo ndiyo kimbilio la wenye akili finyu!
Hoja inaletwa, evidences zinawasilishwa wazi, lakini watu wanaamua kudiverge kwa kipengele ambacho wanajua kiko touchy- dini!
My hairs!
 
Kauli hiyo ndiyo kimbilio la wenye akili finyu!Hoja inaletwa, evidences zinawasilishwa wazi, lakini watu wanaamua kudiverge kwa kipengele ambacho wanajua kiko touchy- dini!My hairs!
Kinachonisikitisha zaidi ni Rais wetu ndio kinara wa kujificha kwenye mwavuli wa udini na ndio silaha yake ya mwisho baada ya kubwagwa vibaya kwenye uchaguzi mkuu uliopita!
 
Hawa watu wamesakamwa na kusemwa sana kwa sababu ya ufisadi wao! Sina nia ya kuwatetea hata kidogo lakini naangalia mambo kwa angle tofauti! Lakini endapo hawa watu wangekuwa Waislamu: Tungeambiwa na watu wenye dini zao kwamba wanasakamwa kwa sababu ya dini zao (Uislamu)! Pia tungeambiwa kuwa hii ni vita dhidi ya uislamu! Tujadili!
Naona mzee umemwaga utilio wako wote
 
Umewashika pabaya hawawezi kuja leo.Mada imetoka mapeeeeeeeeeemaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!! lakini wameipotezea wakidhani hatutawagundua.Aibu yao aibu yetu??????????????????
 
Buchanan umemaliza kila kitu, huo ndio ukweli. Kama wangekuwa Waislamu wangesafishwa kwa gharama yoyote
 
Watu wamefunga laptop zao na desk computers za mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! kwa kukosa hoja
 
Hawa watu wamesakamwa na kusemwa sana kwa sababu ya ufisadi wao! Sina nia ya kuwatetea hata kidogo lakini naangalia mambo kwa angle tofauti! Lakini endapo hawa watu wangekuwa Waislamu: Tungeambiwa na watu wenye dini zao kwamba wanasakamwa kwa sababu ya dini zao (Uislamu)! Pia tungeambiwa kuwa hii ni vita dhidi ya uislamu! Tujadili!

ninge..wange...tunge...!nisinge...wasinge....tusinge..!fikra zikiwa na viambishi hivyo jibu huwa la kufikirika zaidi!let us face reality hizi ninge tunge wange ni kupoteza muda kuzijadili!
 
Hawa watu wamesakamwa na kusemwa sana kwa sababu ya ufisadi wao! Sina nia ya kuwatetea hata kidogo lakini naangalia mambo kwa angle tofauti! Lakini endapo hawa watu wangekuwa Waislamu: Tungeambiwa na watu wenye dini zao kwamba wanasakamwa kwa sababu ya dini zao (Uislamu)! Pia tungeambiwa kuwa hii ni vita dhidi ya uislamu! Tujadili!

Hapo umelonga. huo ndio ukweli
 
wadini waoga wameshindwa kuja kutetea
hahaha
kila siku habari za misikiti leo wameletewa mbwa msikiti wamenyamaza
MS
HUPO
 
Back
Top Bottom