Laini ya tigo inagoma ku connect internet

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,580
1,622
Hii laini nimeisajli juzi lakini chakushangaza inagoma Ku connect internet, nimeweka internet settings walizonitumia tigo lakini kila nikifungua data haionekani juu ya simu nimejaribu kwenye kwenye simu nyingine kama Tecno na Samsung laini bado inagoma ila nikiweka laini nyingine ya tigo kwenye simu yangu inapiga kazi vizuri bila shida.

Nimewapigia tigo wananipiga chenga mara wanasema simu mbovu na wakati nimeweka kwenye simu nyingine bado haipandishi data mimi natumia Nokia Lumia.

Nahitaji msaada wakuu.
 
Internet ya Tigo sometimes ni mauza uza. unaweza ukawa na APN fresh na ikagoma kusono mnara au ikasoma EDGE. Weka line kwenye simu , hakikisha APN zipo sawa, iache simu ON kwa muda kama nusu saa uone itasomaje
 
mkuu usiku wa leo imelala data ikiwa on mpaka asubuhi hakuna cha EDGE, 3G, H wala H+
 
Back
Top Bottom