Simu zangu za Samsung hazishiki internet ya tigo

Simu zangu za Samsung hazishiki internet ya tigo

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Naombeni msaada wakuu nikiweka laini za tigo hazisomi intenet.

Simu zenyewe ni galaxy A 71

Na galaxy A 72

Napata shida sana naipenda line yangu ya tigo .inabidi niweke line kwenye simu ingine niwashe wifi .ni mateso kweli
 
Mimi nina note 10+ nikiweka laini ya tigo na voda haitasoma mtandao wowote, ila nikiweka voda yenyewe au na mitandao mingine inasoma. Nikiweka tigo tu, haisomi pia mtandao. Tatizo hapa ni simu au laini ya tigo?
 
Hizi ndio zile simu wanasema from UK. Kuna uzi unalezea shida hii kwann hutokea!
 
Nenda setting uangalie kama APN ipo sawa au screen shot hapo tuone kama setting za internet zipo sawa
Hyo mkuu hyo ni A 71
Screenshot_20220401-152217_Settings.jpg
 
Mimi nina note 10+ nikiweka laini ya tigo na voda haitasoma mtandao wowote, ila nikiweka voda yenyewe au na mitandao mingine inasoma. Nikiweka tigo tu, haisomi pia mtandao. Tatizo hapa ni simu au laini ya tigo?
Sielewi yaani .nimebaki tu kutumia tecno kupata internet .si ungerese huu jamani
 
Mimi pia napata shida sipati internet kwenye Samsung J4 plus. Naomba mnielekeze hatua kwa hatua tafadhali.
 
Cm za bei na bado zinawatesa woiiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom