Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Wanatakiwa wafunge mitambo ya kisasa zaidi yenye nguvu ili kuliteka soko!!Inatokana na ongezeko la watumiaji
Haiwezekani wao wawauzie voda Afu voda wawazidi speed
Wanatakiwa wafunge mitambo ya kisasa zaidi yenye nguvu ili kuliteka soko!!Inatokana na ongezeko la watumiaji
washapata watu sasa hivi...ila ndo biashara ilivyo...hata halotel nao walikuja kwa kasi walikuwa wanatoa bandle la chuo wiki kwa 1500/= unapata GB 1.5 sasa hivi wanakupa 800MB yan ni wizi wa hali ya juu sanaTtcl nao wameanza kupunguza bando,wateja wamewapa za uso kwenye page yao ya instagram,nadhani nyumbani pameanza kutukelaView attachment 830317
Bora ya halotel mtandao wao umetulia ila ttcl mbaka uibembeleze kwenye internet alafu wanapandisha bei mapema yote hiiwashapata watu sasa hivi...ila ndo biashara ilivyo...hata halotel nao walikuja kwa kasi walikuwa wanatoa bandle la chuo wiki kwa 1500/= unapata GB 1.5 sasa hivi wanakupa 800MB yan ni wizi wa hali ya juu sana
Bora Halotel wamepunguza lakini angalau Net iko vizuri kidogo tofauti na Ttcl yaani mtandao mbovu (4G Kama 2G) Halafu wanapunguza bundleswashapata watu sasa hivi...ila ndo biashara ilivyo...hata halotel nao walikuja kwa kasi walikuwa wanatoa bandle la chuo wiki kwa 1500/= unapata GB 1.5 sasa hivi wanakupa 800MB yan ni wizi wa hali ya juu sana
TTCL anawauzia Voda? Sidhani mkuuWanatakiwa wafunge mitambo ya kisasa zaidi yenye nguvu ili kuliteka soko!!
Haiwezekani wao wawauzie voda Afu voda wawazidi speed
1500 ulikuwa unapata 2gb last time kutumiawashapata watu sasa hivi...ila ndo biashara ilivyo...hata halotel nao walikuja kwa kasi walikuwa wanatoa bandle la chuo wiki kwa 1500/= unapata GB 1.5 sasa hivi wanakupa 800MB yan ni wizi wa hali ya juu sana
Wapo mkuu...ila maeneo mengi ni mwendo wa Roaming tu.....Ttlcl Arusha vp hawajafika tu au
Acha kutoa majibu rahisi vodacom na TTCL nani ana wateja wengi?Inatokana na ongezeko la watumiaji