Laini mpya za TTCL

lifecoded

JF-Expert Member
May 9, 2018
1,424
4,325
habarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada...

Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5 inaandika E tena mpkaa urudi kule kwenye option ya 4G,3G,au 2G option unajaribu kucounter change 4G to 3G au 3G to 4G then back to normal 3G ndo inakubali ,lakini baada ya dk 5 inarudi tena kwenye E....how do I do now...?? make daaaah...halafu sasa cha kushangaza tena inaandika kialama cha R juu ya network...yan baada ya kuandika E inajigeuza tena inaandika R kubwa juu yake....naomba mnieleweshe nafanyaje ili niiset vizuri kwenye hii simu yangu aina ya Nokia 7 ?? ..it's urgent jamani , so that I wana use my Night park bundles right now.....!!
 
hivi ndo inavyodisplay kialama cha R
Screenshot_20180804-004220.jpg
 
Namm yangu imeandika R sijui ina roam maana natumia TTCL
Screenshot_20180804_072041.png
 
habarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada...

Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5 inaandika E tena mpkaa urudi kule kwenye option ya 4G,3G,au 2G option unajaribu kucounter change 4G to 3G au 3G to 4G then back to normal 3G ndo inakubali ,lakini baada ya dk 5 inarudi tena kwenye E....how do I do now...?? make daaaah...halafu sasa cha kushangaza tena inaandika kialama cha R juu ya network...yan baada ya kuandika E inajigeuza tena inaandika R kubwa juu yake....naomba mnieleweshe nafanyaje ili niiset vizuri kwenye hii simu yangu aina ya Nokia 7 ?? ..it's urgent jamani , so that I wana use my Night park bundles right now.....!!
Nnachojua mim ni kwamba ttcl bado hawajasambaa sana network yao mfano 4G wanaipata watu wa dar es salaam ila ukinunua kwenye mikoa mingine mfano kusini kwetu njombe huku unakuta hawana base stations za gsm so unaipata ttcl sometimes kupitia minara ya tigo ndomana inatokea R which means unatakiwa ku enable roaming kwenye simu yako
 
ohoo...asante sana mkuu...
 
hivi ndo inavyodisplay kialama cha RView attachment 826366
Sababu simu yako ni stock jaribu kubonyeza *#*#4636#*#* ili kuweza ku force 3g ama 4g sema ukiforce 4g hutapata huduma za kupiga simu na sms maana mitandao yetu bado kusupport VOlte

Hio R inamaanisha roaming yaani unatumia network ya mtandao mwengine sababu network ya mtandao wako haipo hapo ulipo.
 
Duh! Na kweli home kumenoga
 
shukrani sana mtaalamu
 
Back
Top Bottom