Serikali ina wakati mgumu sana maana huwezi kumkuta Drug Kingpin na unga hata chembe. Namna ya kuwakamata hawa ni kwa kuform chain of events,people,conversations ambazo huishia kuwaframe hawa maLord. CIA Agents wengi imewabidi waingie undercover kuinfiltrate,kugain trust ya hawa majamaa ili mwisho wa siku wawanase maana kupata ushahidi dhidi yao ni ngumu sana. Many CIA agents wanepoteza maisha because of this shit either kwa kuwa snitched out by other corrupt cops,au wenyewe nao wakageuka double agents baada ya kuonja fedha. Money laundering ni tatizo kubwa sana ambalo kama mianya isipozibwa kuna wauzaji hawatakamatwa kwakua evidence katu haitapoint kwao. Mfano Pablo Escobar aliwekA pesa nyingi Kwa klabu ya Soka ya Nacional huko Colombia. Watu hawa ni charitable sana,mfano yakuza hutoa misaada most times ikitokea earthquake huko Japan. Makonda aangalie maana iyo pesa ikisafishwa humgusi mtu. What I thank God ni kwamba hata kama biashara ipo but sio kwa level za Kina Sinaloa,Yakuza,Sicilian Mafia,Ndrangheta ambao mpaka wana hitmen wao,makomando na majeshi yao,Hatari zaidi ni hawa FARC wa Colombia ambao mpaka serikali inakaa nao chini kufanya makubaliano. Na hawakosi mbinu mpya,vikosi kazi mpya katika kufanikisha kazi zao. Thank God bongo hamna makingpin ambao wameweza kuwa na social influence kama kina chapo escobar,griselda blanco ambao walikua wanachukuliwa kama heroes katika neighborhoods na jamii zao. Lastly pleAse over pleAse naomba vita hii isitumike kama silaha ya kuua upinzani maaana kwa naming ya namna hii,damage itakayotokea kwa jina la mtajwa ni kubwa sana. The American War on Drugs has claimed lots of lives and it still does,innocent lives included. I hope bongo tusifike huko,though I know it wont be smooth.