kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,036
- 330
Wabongo Sijui tukoje. Hii ni tanzania na Sio Mexico. Tusipende kujifananisha na vitu visivyotuhusu. Tanzania na Mexico ni vitu viwili tofauti kabisa. Ndio maana bongo tunachelewa sana.
jamaa kaanzisha kitu kizuri ila hana au hajui mbinu na tahadhari. ingekuwa Mexico hao mateja tungekuta miili yao imetawanywa mji mzima. siyo busara kupiga nao picha. Mexico askari ambao huenda kukamata wauzaji hujiziba kabisa sura.
![]()

