Mr.laravel
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 471
- 514
Mimi nina wasiwasi na njia wanazotumia.
Watu wanaweza kuitwa polisi kwa mahojiano yakafanyika na mwisho wa siku mnaambiwa watu hao hawakukutwa na hatia.Itakua ni upotevu wa rasilimali.
Sidhani kama Tanzania tuna ujasiri wa kutaja wauza unga og kwa sababu wanajulikana ila maigizo yanafanyika mengi na yote ni ili kupata sifa za kisiasa.
Nchi za wenzetu wanafanikiwa kiasi kwa kuwa na sheria kali na hawakuangalii usoni we ni nani au mtoto wa nani.