Laini kama supu ya mapupu

Laini kama supu ya mapupu

Hii operation ilifaa kuwa ya kimya kimya unabeba mmoja mmoja anashtuka asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali, no phone, no laptops wala means yeyote ya kuwasiliana na mtu wa nje.
Kwa maslahi mapana ya kujijenga kisiasa commotion kama hizi ni muhimu sana
 
ingefanywa kimya kimya wale jamaa wa ufika wangesema watu wao wanadakwa kwa sababu za kisiasa,
Wangeongea lakini mwisho wa siku wangenyamaza maana tunashughulikia ustawi wa nguvu kazi ya taifa letu. Mi nadhani iundwe special force ya vijana wenye weledi wa hali ya juu. Tu-hack hata mawasiliano ya baadhi ya watu wakae under surveillance kwa kipindi flani na wakiingia 18 za vijana wanafanyiwa kimya kimya.
 
Kwa maslahi mapana ya kujijenga kisiasa commotion kama hizi ni muhimu sana

Kuna nukuu moja niliipata katika filamu moja ya kikorea "The path of a ruler is different from the path of a servant. An improper judgement of a servant can be fixed with his life, but an improper judgement if a ruler could lead to the fall of the country"

Je ikiwa siku tutagundua kwamba kuna sehemu tulitakiwa kufikiri zaidi, na kufanya zaidi...je, tutakuwa tayari kuwajibika kisiasa na kiutendaji?? Hili ndilo swali ambalo linaniumiza kichwa kwa hii trending issue.
 
Kuna sababu nyuma ya pazia kwanini yale majina Mia 5 walioshughulikiwa hawafiki hata robo
Inawezekana kabisa ni
-weledi wa kutenda
-utawala wa sheria
-kutuhumu kwa ithibati
-haki za kikatiba na kibinadamu
Ama la! MENGINEYO
NI kweli kabisa Kuna mahali tulipaswa kufikiri zaidi
 
NI SOO.....
tunanogesha upendo kwa kutengeneza colabo isiyoendana kabisa lakini ikifanyiwa mixer kwa malengo yake
sddefault.jpg
 
Attachments

  • sddefault.jpg
    sddefault.jpg
    55.6 KB · Views: 46
Hivi mshana tu assume magufuli aamrishe jeshi mfano LA jwtz liingie mitaani na kukamata Hawa vinara wakubwa waliotajwa na kikwete Hawa vigogo wanaofahamika na kisha wawekwe chini ya Ulinzi mkali.. Halafu tusubiri baada ya mwezi tuone km hii biashara itakuwa inapumua.. Mi naona kama Kwa tanzania vita hii sio ngumu sana Kwa sababu hawana silaha nzito kushinda jeshi. Naona kabisa kama siasa ikiwekwa kando. Busara ikiwekwa kando. Sheria ikiwekwa kando basi tutafanikiwa Kwa wepesi hayo ni maoni yangu Lakini sijui kama Nipo sahihi nachokiamini. Mapolice na Wakuu wa vyombo vya usalama wakiwekwa pembeni kwenye hii vita basi tumeshinda kweupe
Kwa hapa kwetu tutaishinda hii vita manake bado ma Don hawaja invest sana kwenye majeshi yao.
TUTASHINDA
 
tunanogesha upendo kwa kutengeneza colabo isiyoendana kabisa lakini ikifanyiwa mixer kwa malengo yakeView attachment 468506
Tayari mmoja ameonesha hakopeshi amemwaga nyongo mchana huu... Naisubiri sana ibada ya jumapili sijui kitasemwa nini.

Vita ilipaswa kuanzwa mapema. Tunafurahi kuanza. Lakini strategy, timing na resources naona kama zutatushika miguu.
 
kiukweli inatakiwa tufanye maamuzi magumu kwenye hili.
 
Tayari mmoja ameonesha hakopeshi amemwaga nyongo mchana huu... Naisubiri sana ibada ya jumapili sijui kitasemwa nini.

Vita ilipaswa kuanzwa mapema. Tunafurahi kuanza. Lakini strategy, timing na resources naona kama zutatushika miguu.
Nani katapika
 
Bro mshana Jr nimekuelewa vizuri sana,nimesikitishwa sana ktk hiyo list kutajwa mtu ambaye namwamini sana{hata kwa position yake hiyo biashara ni vigumu kwa yeye kuifanya,kila siku anacheza na police post case nje nje kisha leo auze unga}japo sikatai maana nae ni binadam na binadam tumeumbiwa tamaa ila sio kwa kufanya biashara hii may be ningeambiwa ni haramia.
 
Cha kujiuliza hapa ni Je yupo kwenye ile list ya watu 500?manake ile haikuandaliwa mitaani baada ya mateja kupewa pafu na kufundishwa cha kusema
 
Hili suala linaendeshwa kimihemko zaidi
Ili hali suala lenyewe ni kubwa
Ngoja tuzione mbivu na mbichi
 
Hizo ndo tunaitaga ndoto za asubuhi.. unafikir hao watu wameanza leo drug trafficking?? Haya mambo yataisha kimya kimya.. just wait n see
Mkuu ndege john alichokisema ni wakati mwengine sheria ipindishwe for emergency{wote tumeona sheria zimepindishwa na magufuli kaamuru ndege zinunuliwe bila bunge kuidhinisha budget yake,huyo alotaja wauza madawa kakarabati office yake kwa mill400 na mengineyo}je nikusema kwamba ununuzi wa ndege na ukarabati wa makabati ni muhimu sana kuliko hawa vijana wanaoteketea?hizi zote ni siasa tena siasa za kitoto huwezi kitu sensitive kama hiki ukakifanyia mzaha kama unawataja mbuzi!!!case zitaenda mahakamani or wataitwa watenda kusikilizwa mara hawana hatia wanarudi mitaani na kuidai serikali fidia,yaani inatengenezwa cycle moja matata sana itakayokuja kutugharimu sisi maskini tunaolipa kodi kwa kuwafidia hawa watu ilhal vijana wataendelea kuharibika na cocaine/heroine coz wale wahusika hasa hawajakamatwa!
 
Back
Top Bottom