Mkuu
ndege john alichokisema ni wakati mwengine sheria ipindishwe for emergency{wote tumeona sheria zimepindishwa na magufuli kaamuru ndege zinunuliwe bila bunge kuidhinisha budget yake,huyo alotaja wauza madawa kakarabati office yake kwa mill400 na mengineyo}je nikusema kwamba ununuzi wa ndege na ukarabati wa makabati ni muhimu sana kuliko hawa vijana wanaoteketea?hizi zote ni siasa tena siasa za kitoto huwezi kitu sensitive kama hiki ukakifanyia mzaha kama unawataja mbuzi!!!case zitaenda mahakamani or wataitwa watenda kusikilizwa mara hawana hatia wanarudi mitaani na kuidai serikali fidia,yaani inatengenezwa cycle moja matata sana itakayokuja kutugharimu sisi maskini tunaolipa kodi kwa kuwafidia hawa watu ilhal vijana wataendelea kuharibika na cocaine/heroine coz wale wahusika hasa hawajakamatwa!