Nauza Wi-fi bado mpya kabisaaa

Nauza Wi-fi bado mpya kabisaaa

Chubby255

Member
Joined
Jul 27, 2026
Posts
27
Reaction score
48
BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa)

• Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura.

• Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani).

• Bei ya Dukan: TSh 100,000

• Bei ya Kuuzia: TSh 85,000
Ina bando la mwezi mzima nimenunua Tarehe 8 tu nimepata matatizo imenibidi niiuze ili kulitatua kwanza.

Mazungumzo kidogo yapo

• Mahali: Dar es Salaam
(Mbezi mwisho)

• Mawasiliano: 0614 048 461


 
Elfu 50 ipo mfuko wa shati, kama uko tayari nipm tumalize
 
BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa)

• Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura.

• Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani).

• Bei ya Dukan: TSh 100,000

• Bei ya Kuuzia: TSh 85,000
Ina bando la mwezi mzima nimenunua Tarehe 8 tu nimepata matatizo imenibidi niiuze ili kulitatua kwanza.

Mazungumzo kidogo yapo

• Mahali: Dar es Salaam
(Mbezi mwisho)

• Mawasiliano: 0614 048 461


View attachment 3707287
unanunua kitu unapata matatizo unauza tafakari sana maieha yako ni mabaya sana hapo baadae
 
Ndo
unanunua kitu unapata matatizo unauza tafakari sana maieha yako ni mabaya sana hapo baadae
Ndo hivyo ndugu yangu ila kikubwa kimfaacho mtu chake kuliko kukopa bora niuze hiki nikichonacho nijue natatua vipi hili jambo
 
Back
Top Bottom