Hakuna mtandao unaobugia data kama vodacom

Hakuna mtandao unaobugia data kama vodacom

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,334
Reaction score
9,286
Nimefanya research nikanunua lain za mitandao yote nchini nikaweka bando lile lile kwa line zote na nikafungua vitu vile vile kwa simu yangu Kilicho tokea nakamilisha kwa kusema voda huo ni utapeli

Na ndio mana hata kipengele cha kuongea na muhudumu kwenye laini yenu kimekuwa cha kificho tofaut na mitandao mingine

Alafu mkiulizwa mnaleta siasa kumbukeni hiyo ni biashara zamani nikajua ni wakubwa kumbe hamna ukubwa wowote



Miez iliyopita nilikuwa nchi ya jirani nikanunua line za huko asee huduma zao safi sana kifurushi cha elfu 5 kinakaa siku 180 njoo tanzania kwa kina voda nyie jamaa huo ni utapeli


Wote tuseme ameen
 
Kwa sasa naona laini zote amna kitu...halotel walijitahidi mwanzo kwa sasa nao wamekuwa matapeli .....

Mm naona suluhisho ni kama kazi zako nyingi za online ni bora ununue router...ulipie kwa mwezi ....

Hizi laini unanunua kifurushi cha 3000 Leo kesho kimeisha
 
Zambia Kwacha 100 unapata GB 10 kwa mwezi Airtel na MTN.
Kwacha 100 = TZS 13,000.
Airtel ya Zambia mambo yao kama Voda Bundle inaenda fast, Ila MTN utasahau.
Tanzania natumia Voda Cause napenda spidi ila inacost sana.
 
Kuna hilo, au kukupatia Mbs nusu.
Mfano kuna kipindi fulani nilikuwa nanunua bando Gb1. Nikawa naona linaisha haraka sana. Nika download kihesabu Mbs, ndipo nikagundua nilikuwa natumia Mbs 500 tu, ilhali voda wao wanasema wamenipa 1Gb.

Kuanzia siku hio nikaachana na Internet ya Voda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom