Lain za chuo airtel

Lain za chuo airtel

hongera sana ila najua umekosea sana ku m quote ovyo mdau pale juu..

Mimi ukijaa tu mwenyewe katika ' frame ' lazima nikunyooshe Mkuu japo na Mimi pia huwa napenda sana kunyooshwa na ' Wababe / Wajanja ' wenzangu humu.
 
Fanya kazi wacha kushinda JF .24/7 unakula upepo?

Sijazaliwa katika Familia ya shida na dhiki kama Wewe na nashukuru Mungu kuwa Wazazi wangu walijipanga na kunitengenezea maisha yangu na sasa naishi vizuri hivyo usione nipo humu JF 24/7 ukadhani tunafanana Pumbavu mkubwa Wewe. Walaumu Wazazi wako kwa kushindwa Kwao kujipanga na sasa Wewe Mtoto wao unahangaika tu kuitafuta Shilingi huku ukiwachukia kwa Wivu wako wa ' Kingumbaru ' Watu wanaoshinda humu JF kila uchao utadhani Wewe ndiyo unawanunulia Bundle zao au uliwasajili humu.

Huwa sipendi kuwa na dharau hivi ila ukijipendekeza huwa ' sikubakishi '. Dhiki zako ulizonazo hadi katika ' Kope ' zako za macho usidhani na wenzako pia wanazo hivyo pambana sana kujitafutia maisha yako na usitake kujilinganisha na GENTAMYCINE kwani hutoniweza na barabara yangu ya Kimafanikio ilijengengwa vizuri na itakwisha pale tu Pumzi yangu ya mwisho itakapoisha hapa duniani.
 
Sishaur mtu yeyote kununua line ya Airtel internet yao ni kobe siku utajuta tu..... bora mitandao mingine
 
Bali kwa laini ya kawaida ileile, unajiunga vifurushi mbalimbali ama kwa vocha za Uni, vocha za kawaida au kwa Airtel money.

I was just adding the details Mzee.
Wanazo bwana me hapa natumia line ya Chuo offa zipo kama dakika 15 kupiga mitando yote kwa jero tu
MB 500 kwa wiki kwa Mia 5 tu
Zipo kemkem nyie muungishen mleta mada hamtajutia
 
Sijazaliwa katika Familia ya shida na dhiki kama Wewe na nashukuru Mungu kuwa Wazazi wangu walijipanga na kunitengenezea maisha yangu na sasa naishi vizuri hivyo usione nipo humu JF 24/7 ukadhani tunafanana Pumbavu mkubwa Wewe. Walaumu Wazazi wako kwa kushindwa Kwao kujipanga na sasa Wewe Mtoto wao unahangaika tu kuitafuta Shilingi huku ukiwachukia kwa Wivu wako wa ' Kingumbaru ' Watu wanaoshinda humu JF kila uchao utadhani Wewe ndiyo unawanunulia Bundle zao au uliwasajili humu.

Huwa sipendi kuwa na dharau hivi ila ukijipendekeza huwa ' sikubakishi '. Dhiki zako ulizonazo hadi katika ' Kope ' zako za macho usidhani na wenzako pia wanazo hivyo pambana sana kujitafutia maisha yako na usitake kujilinganisha na GENTAMYCINE kwani hutoniweza na barabara yangu ya Kimafanikio ilijengengwa vizuri na itakwisha pale tu Pumzi yangu ya mwisho itakapoisha hapa duniani.
Povu povu povu baba kidume umevurugwa sio kwa povu hili hahaha watu na Maisha yao bana hongera boss ila mambo mengine kausha tu jamaa alikuwa anakutania bana don't mind vitu vidogo he/she didnt mean to kukupovusha ivi naona na ww umetafuta mnyonge wako hahaha
hahah we jamaa unanifurahishaga sana.
 
Kwa anaehtaji lain za chuo au lain ya airtel Tanzania anichek via 0173099309/0783995659.thanks
Weka bei kabisa mkuu ili mtu anapokutafuta mnafanya biashara sio kuanza kuulizana habari za bei
Nb: hiyo namba ya kwanza iko sahihi au imekosewa??
 
Wanazo bwana me hapa natumia line ya Chuo offa zipo kama dakika 15 kupiga mitando yote kwa jero tu
MB 500 kwa wiki kwa Mia 5 tu
Zipo kemkem nyie muungishen mleta mada hamtajutia

Mmmh labda.

Au nawewe ndio walewale as I am ?
 
Back
Top Bottom