Lahaulaa! Msaada haraka!

VoR....great with u.ila ulisahau unge Pm ndevumbili kwani wazazi nao ni wajuvi wa technology tena wapo humu jf
 
Huyu GThinker azidi kutoa msaada kwa upeo wake.
Pia inawezekana wazazi wa jamaa ndio walioleta hilo swali...hw du u knw?
 
Voice of reason upo juu. Hongera sana kwa kufikiria hivyo. Nilipoona huo ujembe nilibakiwa kutetemeka kumbe great thinker ushapata jibu. BIG UP JF
 
binafsi sioni kama huyo mdogo wako anahitaji msaada!!kuna sababu gani itakayo niingia kichwani kunielewesha kwa nn anamuandikia gf matusi!!hata kama wamegombana hana sababu ya kuporomosha matusi namna hiyo!!
 
Asubiri, akiulizwa ndo ajitetee.😛uke:
 
binafsi sioni kama huyo mdogo wako anahitaji msaada!!kuna sababu gani itakayo niingia kichwani kunielewesha kwa nn anamuandikia gf matusi!!hata kama wamegombana hana sababu ya kuporomosha matusi namna hiyo!!

Wote tunajifunza kwa makosa.... na Once Bitten Twice Shy... nina uhakika hili litakuwa funzo la kutosha
 
duuuh!
Zinga la msala hadi pozi lote limeniisha. Afanye kama alivyoshauri VOR.
 
binafsi sioni kama huyo mdogo wako anahitaji msaada!!kuna sababu gani itakayo niingia kichwani kunielewesha kwa nn anamuandikia gf matusi!!hata kama wamegombana hana sababu ya kuporomosha matusi namna hiyo!!

itakuwa ni majina ya viungo na yale matendo yalee.
Si unajua eeh!
Au hujaelewa bado?
 
you are too wise to be my husband
 
Upo juu great thinker,nakugongea na THANKS
 
duuuh!
Zinga la msala hadi pozi lote limeniisha. Afanye kama alivyoshauri VOR.
Hunishindi me....huku nlipo mawazo mengi.
Halafu mbaya zaidi dogo sijampata kwa simu hadi leo.
Wazazi wetu walinipigia simu wakilalamikia hizo ujumbe za hovyo hovyo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…