Lady JayDee ni zaidi ya Whitney!


Van Walter

Van Walter

Senior Member
Joined
Jun 16, 2009
Messages
171
Likes
4
Points
35
Van Walter

Van Walter

Senior Member
Joined Jun 16, 2009
171 4 35
mimi nakubaliana na jd asilimia mia kwa mia kabisa kuwa yeye yuko juu zaidi kwa ubaya..maana inawezekana hakufafanua pale..lady jay dee ni mbaya kwa sura ukimlinganisha na whitney..kwenye mshiko ndo wala hamsogelei whitney na kuimba ndo daa..mi siwezi lipa hela zangu nikamsikilize takataka ka lady jay dee...kutwa kuimba wanaume waliomtosa..hajui kuwa atoswa kwa ubaya wa sura ile.
nawasilisha.
 
Sal

Sal

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2008
Messages
500
Likes
12
Points
0
Sal

Sal

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2008
500 12 0
JD hana mziki wowote wa maana, kinachomsaidia ni kujitangaza sana kwenye vyombo vya habari na kua promoted vyema kwa ubavu wa mume wake. Manufaa pia anayaona kwa vile mumewe ndio manager wake. Tofauti na wanamuziki wengine ambao kazi zao nzuri ninamalizwa na mameneja matapeli wa kitanzania ambao wanatumia majasho ya wasanii bila huruma.
Zamani JD alikua na nyimbo chache nzuri, sasa hivi hana kitu. Anajikongoja tu. Acha Whitney, huwezi kumuweka kundi moja hata na mtu kama Angelique Kidjo.
 
LUSAJO L.M.

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
227
Likes
12
Points
35
LUSAJO L.M.

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
227 12 35
Nakubali Lady Jaydee ni zaidi ya Whitney kama tunaongelea local scene, kwa yeyote ambaye mipaka yake ya ufahamu wa muziki inaishia bongo atakuwa na mtazamo huo. Hata kama kura zimepigwa inawezekana wapigaji wakawa ni watoto wa late 90's ambao wameujua mziki wakati nyota ya Whitney imeshafifia na hawajui lolote kuhusu mwanadada huyo. Lets say Whitney anafanya show hapo Dar sehemu fulani na JD akawa naye anapiga sehemu nyingine usiku huohuo, sitashangaa sana kuona show ya Jide ikijaza kuliko ya Whitney.
Daah hata afanye show yake Bure sidhani kama atajaza kushinda Whitney...unless labda iwe kwamba wale watu wote waliokulia katika kipindi Whitney anasumbua dunia, waliopata wake nawaume kutokana na nyimbo za Whitney...na wngineo wasiwepo tena hapa duniani.... Personally I am the very few ambao waliweka goals za kuhudhuria concert moja ya Whitney sasa sijui ni lini hii itawa sawa!
 
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
26,615
Likes
31,062
Points
280
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined Jan 21, 2014
26,615 31,062 280
Hapa ni mwendo wa Michango ya WADAU
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,840
Likes
29,691
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,840 29,691 280
Hapo ndio Bado bangi bongo haija halalalishwa " .... je ikitokea ikahalalishwa hali itakuwaje ....!!?

Hahahaa jayde na Whitney ... hiki kitakuwa ni kichekesho cha karne aisee" ... Jayde hata ciara .fantasia barino . Jenifer Hudson bado hajawafikia ...hata kwa chembe ya ulezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TheMirror

TheMirror

Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
11
Likes
14
Points
5
TheMirror

TheMirror

Member
Joined Aug 19, 2018
11 14 5
Katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na Whitney Houston, watoa comment wengi wamesema JayDee ni zaidi!
Yaliyo yangu;

Dada JayDee bado saaana kujiweka ktk kundi moja na whitney,ni sawa na mjusi kujilinganisha na mamba
Duh.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,840
Likes
29,691
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,840 29,691 280
Jamani tusimhukumu Jaydee bila kujua anajilinganisha kwa kitu gani

  1. Kama ni muziki - hapana
  2. Kama ni kuwa sura nzuri - Hapana
  3. Kama ni Pesa - Hapana
  4. Kama ni kufanana na mwanaume - HAPO SAWA!!!

Wazo: JayDee ni zaidi ya Whitney kwa kuwa na sura ya kiume na mkomao!!
Baahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
30,905
Likes
88,076
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
30,905 88,076 280
Ha ha ha ha ha Mwamba ngoma....., watu wengine wanakufuru kweli!!!! Hivi huyu anaweza kujifananisha na Whitney kweli? Hata Whitney katika miaka ya hivi karibuni pamoja na kutumia unga bado ni mkali mara 100 kuliko huyo Jaydee.
Nchi yetu ina maajabu sana, hata vichwa vya train huokotwa bandarini.
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,916
Posts 29,788,598