Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,208
- 5,682
"Hizo ni make up tuuuuu...." - Rama Dee. Hakuna mwanamke ugly, kila msichana unayemuona ni mrembo sana tatizo matunzo tuu. Gigy Money anaendesha akili za baadhi ya mikware kwa kuonekana mrembo, kumbe ni wa kawaida mno, assume angekuwa angekuwa anashinda juani anakaanga samaki Tabata Matumbi unadhani kuna mtu angeongelea mvuto wake.