una balaahLady doctor, kwa muda mrefu sana nimekuwa nafuatilia posts zako humu na kwenye MMU.
Kwa kweli nimetokea kuvuiwa sana na wewe, unaonekana ni mwanamke unayepaswa kuwekwa ndani, una busara, unajua mwanaume anataka nini.
Kwa kweli ukinipa nafasi nitashukuru sana. Nimeona nisikutumie PM, ila niandike humu, ili hata wanabodi waweze nao kunisaidia.
Lady doctor nakupenda na nahitaji nianzishe familia nawe, naomba ukubali ombi hili...
Kama akinipenda hao machalii hawawezi kutuingilia kwenye mapenz yetu, nampenda sana huyu mdada Lady doctor
Mi nakusubiri wakati wa kutoa hiyo mahari...unless you're not chit chatting....
Hahahahahahaha
Hebu ngoja kwanza... Ntarudi baadae, kuisoma hii barua vizuri!
Hebu ngoja kwanza... Ntarudi baadae, kuisoma hii barua vizuri!