Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
[LIST=1]
[*]Yeye ndie mama wa mumeo, kamfahamu mumeo toka hajakabidhiwa kwake na babake akiwa hana uhai wowote mpaka hapo ulipomkuta akiwa tayari ana miaka zaidi ya 27 (maybe) and onwards… Hivyo katika mawazo yake huyu mama ni Who does she think she is thinking kwamba anaweza mteka mwanangu kirahisi rahisi…
[*]Mara nyingi most watoto wa kiume hupendwa saaana na mama zao.. huo upendo huwajenga karibu sana na most guys hua wanaenda hata confide mambo yao kwa mama zao because at that time she is the most prominent woman in his life.. Na kama tuelewavyo mapenzi kitu kingine once akipata mwanamke kampenda na kumuoa automatically mambo yanabadirika na hata ajitahidi namna gani huyo kijana lazima mama ataona tu utofauti – Basi huona wewe binti umenyang'anya privilege yake..
[*]Akina mama wengi hasa wenye tabia za ovyo ovyo hufanya mambo mengi kwa waume zao.. atamlisha kila uchafu, atamuendea kwa kila mganga, sometimes humuendesha mumewe kama gari bovu, wengine hutumia njia zozote zile mumewe kutokua na nduguze hata wazazi – Basi pale mtoto wake wa kiume anapopata mke ndo ana realize kua mtoto wake yawezekana atafanywa na kuchezewa vibaya kama babake alivyomfanyia…Mkuki kwa ngurue…. Hi indo huwachanganya kabisa…
[*]La mwisho (but not limited) na muhimu ukweli ni kwamba wewe ni mwanamke…. After all; all women tend to hate each other especially if they have the attention of the same man – wote wawili (mke na mama) wanataka kuonesha kwamba wao ni bora zaidi kwa hio mwanaume wakisahau kua kati yao hakuna mshindi, maana wote wana umuhimu na nafasi tofauti kwa huyo mwanaume….
[/LIST]
Sorry to say this Nyumba kubwa,nothing personal, hapo kwenye red,niseme tu kwa ujumla kwamba ni hatari mme/mke kumweleza mwenza kila kitu kinachohusu familia yake na 'hata kinachosemwa behind your back'.Leo mko in good terms na wakwe na mashemeji zako (kama unavyosema) lakini kumbuka kuna kesho na kesho kutwa.Unajua nini kinaweza kutokea siku mkitofautiana (japo siombei ikutokee)? usije shangaa siku moja ukashtukia unafoka na kusema 'ndo mana siku fulani ulimwambia mme wangu hivi na hivi kuhusu mimi', na baada ya hapo?itakuwa ni full embarassment kwa mme na si ajabu nduguze watamweka kitimoto na kumwambia 'mkeo amekukalia juu'-anyway just thinking aloud.Mimi nina bahati sina mawifi nina mama mkwe tu maana nasikia mawifi nao ni issue sometimes. Mama mkwe wangu nampenda na so far hatujawahi kugombana. Labda kwa kuwa yuko mbali na si wa kijijini kwa hiyo ni muelewa. Pili huwa sijajaribu hata siku moja kuwa kiwingu kati yake na mwanae kwani mume wangu ni last born. Akiniomba kitu basi niko tayari kukopa kama sina ela nimpatie. Sometimes huwa nawaza am I caring too much than the way am treating my own mother? Well ukipenda boga lazima upende na ua lake!
Na kwa kumtreat mama mkwe wangu vizuri nadhani kunamfanya mume wangu anipende sana na kutonificha chochote kuhusu familia yao hata wanachoongea na mama yake on my absence. Hata mashemeji zangu wananipenda pia.
Hakuna atakaye kupenda ukimchukia mzazi wake!
Shukran wapendwa kwani nimepata ma ujuzi fulani kupitia jukwaa hili nitayafanyia kazi nikibahatika kumpata mama mkwe
Na kwa kumtreat mama mkwe wangu vizuri nadhani kunamfanya mume wangu anipende sana na kutonificha chochote kuhusu familia yao hata wanachoongea na mama yake on my absence. Hata mashemeji zangu wananipenda pia.
But if the wife does things to please God and not necessarily an in-law mom or even a husband........the Lord will mellow the stubborn heart of the in-law...................only God can offer peace of GOD to both sides................................migongano iliyopo is about controlling that man...............who meant so much in the lives of either side...............Code:[LIST=1] [*]Yeye ndie mama wa mumeo, kamfahamu mumeo toka hajakabidhiwa kwake na babake akiwa hana uhai wowote mpaka hapo ulipomkuta akiwa tayari ana miaka zaidi ya 27 (maybe) and onwards… Hivyo katika mawazo yake huyu mama ni Who does she think she is thinking kwamba anaweza mteka mwanangu kirahisi rahisi… [*]Mara nyingi most watoto wa kiume hupendwa saaana na mama zao.. huo upendo huwajenga karibu sana na most guys hua wanaenda hata confide mambo yao kwa mama zao because at that time she is the most prominent woman in his life.. Na kama tuelewavyo mapenzi kitu kingine once akipata mwanamke kampenda na kumuoa automatically mambo yanabadirika na hata ajitahidi namna gani huyo kijana lazima mama ataona tu utofauti – Basi huona wewe binti umenyang'anya privilege yake.. [*]Akina mama wengi hasa wenye tabia za ovyo ovyo hufanya mambo mengi kwa waume zao.. atamlisha kila uchafu, atamuendea kwa kila mganga, sometimes humuendesha mumewe kama gari bovu, wengine hutumia njia zozote zile mumewe kutokua na nduguze hata wazazi – Basi pale mtoto wake wa kiume anapopata mke ndo ana realize kua mtoto wake yawezekana atafanywa na kuchezewa vibaya kama babake alivyomfanyia…Mkuki kwa ngurue…. Hi indo huwachanganya kabisa… [*]La mwisho (but not limited) na muhimu ukweli ni kwamba wewe ni mwanamke…. After all; all women tend to hate each other especially if they have the attention of the same man – wote wawili (mke na mama) wanataka kuonesha kwamba wao ni bora zaidi kwa hio mwanaume wakisahau kua kati yao hakuna mshindi, maana wote wana umuhimu na nafasi tofauti kwa huyo mwanaume…. [/LIST]
Duh,ngoja nikariri visa vikianza nimuelewe mama mkwe....natumai na yeye atanielewa tu....:mod:
Sorry to say this Nyumba kubwa,nothing personal, hapo kwenye red,niseme tu kwa ujumla kwamba ni hatari mme/mke kumweleza mwenza kila kitu kinachohusu familia yake na 'hata kinachosemwa behind your back'.Leo mko in good terms na wakwe na mashemeji zako (kama unavyosema) lakini kumbuka kuna kesho na kesho kutwa.Unajua nini kinaweza kutokea siku mkitofautiana (japo siombei ikutokee)? usije shangaa siku moja ukashtukia unafoka na kusema 'ndo mana siku fulani ulimwambia mme wangu hivi na hivi kuhusu mimi', na baada ya hapo?itakuwa ni full embarassment kwa mme na si ajabu nduguze watamweka kitimoto na kumwambia 'mkeo amekukalia juu'-anyway just thinking aloud.
mpenzi kwani mi sieleweki jamani? mbona hivyo lakini? think....L.O.L:A S 103:mmh...kwa wewe Michelle ama mwingine...think! LOL:A S 103:
Word to word Michelle... Pleeease.... Hop uko poa by the way....
mmpenzi kwani mi sieleweki jamani? mbona hivyo lakini? think....L.O.L:A S 103:
em tell it like it is bana! why?m
naona kwa mama mkwe itakuwa ngumu lol....
If am expected to understand her attitudes and behaviours,she is also expected to do the same...thats my point.
am not ready to take any nonsense under the umbrella of women have the tendency to hate each other especially when seeking the attention of a man...i hate no woman,i will hate a woman who can not let me and my husband enjoy our marriage, and she can hate me if in any way,i i do not let my husband give her the attention she deserves!!!
Sorry to say this Nyumba kubwa,nothing personal, hapo kwenye red,niseme tu kwa ujumla kwamba ni hatari mme/mke kumweleza mwenza kila kitu kinachohusu familia yake na 'hata kinachosemwa behind your back'.Leo mko in good terms na wakwe na mashemeji zako (kama unavyosema) lakini kumbuka kuna kesho na kesho kutwa.Unajua nini kinaweza kutokea siku mkitofautiana (japo siombei ikutokee)? usije shangaa siku moja ukashtukia unafoka na kusema 'ndo mana siku fulani ulimwambia mme wangu hivi na hivi kuhusu mimi', na baada ya hapo?itakuwa ni full embarassment kwa mme na si ajabu nduguze watamweka kitimoto na kumwambia 'mkeo amekukalia juu'-anyway just thinking aloud.
From my perspective M is that at least if you understand where its coming from then waweza mvumilia walau kidogo and if not that at least for the sake of your husband... The absolute truth is that most do not care of what you think/feel about her... Thus if you decide to treat her the way she treats you - that means you will never come into an agreement on anything even if it is for the best of you or your husband... Kwa maneno mengine hawezi jishusha kwako hata siku moja mana katika akili yake kisha jenga kua yeye ndo zaidi kwa mwanae na wewe si kutu which is not the truth...
From my perspective M is that at least if you understand where its coming from then waweza mvumilia walau kidogo and if not that at least for the sake of your husband... The absolute truth is that most do not care of what you think/feel about her... Thus if you decide to treat her the way she treats you - that means you will never come into an agreement on anything even if it is for the best of you or your husband... Kwa maneno mengine hawezi jishusha kwako hata siku moja mana katika akili yake kisha jenga kua yeye ndo zaidi kwa mwanae na wewe si kutu which is not the truth...
Nakubaliana na wewe Asha D. I might be lucky, lakini mawife wengi hasa wenye kazi zao wana part to play katika relationship kati yao na wakwe zao. Wewe kama ni msomi hata kama mama mkwe ni std seven na reasoning yake ni poor kwa nini hujifunzi kuignore. Kwa nini uweke ligi. Tena una ignore huku watabasamu maana nikisema kuignore siyo kwa misonyo, with time atapima na mwenyewe ataanza kukupenda. Nakubali kuna wenye gubu lisilobebeka; ila kuna wenye kasoro za kawaida ila sisi ma wife tunaweka ushindani. Ila kuna wanawake nawajua na nawasifu wanaweza kukaa na mama wakwe ambao ni wakorofi. Unakuta mama mkwe anaenda kupiga umbea nyumba jirani kukusema vibaya. Kama una akili why should you care?
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% that if i understand where its coming then naweza vumilia,my point is si kila kitu naweza vumilia wala kuelewa,kuna vitu vingine sitaelewa....i do not revenge,what i do is stay away from someone for good....if my husband can not do something about it,then he is expected to understand my actions...!!!