Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Sijasema wavaa Suruali hawaolewi wala hawapendwi.


Hongera kwa kuolewa na kuwa na familia lakini najua hukuolewa sababu ya suruali
 
siyo kweli coz msichana hata kama amevaa charanga had miguuni kama hana mvuto hana tuu siyo ndo kigezo cha kupendwa.then huja analyse sababu kuna suruali za vitambaa,skin jeans wenyewe wanasema n.k then kuna mini skirt,macharanga n.k so we unaongelea upande upi mkuu.no research no right to talk!
 
Upo wakutembea au unataka mguu gani weye

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Sketi zina heshima yake.Ila kuna zingine zina mipasuko hiyo acha tu!!!!!!!!!!
 
Wengine hawapendi shingo feni na macho balbu ya wanaume ndio maana wanaamua kuficha miguu yao kwa suruali..

Asante.
Kumbe unakiri mwanamke mvaa sketi anashawishi zaidi kuliko mwenye suruali.!!
 

naona anataka wa TEMBO....
 
Kila ndoa na principles zake.kuna wengine wake zao wakivaa sketi wakati wa kutoka out wanarudishwa ili wakavae nguo nyingine. ila wakisikia mlangoni mama mkwe anapiga hodi, wife anaaambiwa kimbia ukavae kanga mama asije akakuona umevaa suruali.Duh!
 
Sketi zina heshima yake.Ila kuna zingine zina mipasuko hiyo acha tu!!!!!!!!!!

hapa tunaongelea zile sketi ambazo mwanamke akisimama sketi inafunika magoti but the leg upo wazi na hamna mpasuo wa mitego...unataka ile classic female look ...simple but beautiful.
 
inaelekea miguu ndo kaugonjwa kako ee! haa haa haa!
 
hapa tunaongelea zile sketi ambazo mwanamke akisimama sketi inafunika magoti but the leg upo wazi na hamna mpasuo wa mitego...unataka ile classic female look ...simple but beautiful.
Pamoja mkuu, sketi ndio mpango mzima.
Hata kama mwanamke kicheche kunakitu kinamsitiri.!!
 
Kweli wanawake wanaovaa suruali mara nyingi wanakasoro na hawajiamini japo sio wote.
Mwanamke mvaa Sketi anamvuto sana, kwanza anakufanya mwanaume ujione mwanaume wa ukweli.

kwa hiyo hata akivaa mini ma.p.j nje utajiona mwanaume wa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…