Ladies..u rejected him when he had nothing..

Ladies..u rejected him when he had nothing..

Ukiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Aah wapi mengine mnaenda tofaut na mipango sababu wanawake mnajiona mko juu zaidi ya shetan....

Nkuulize unahis MOLA anapenda tuteseke kwny mapenzi na tuumie?

rap beast
 
Aah wapi mengine mnaenda tofaut na mipango sababu wanawake mnajiona mko juu zaidi ya shetan....

Nkuulize unahis MOLA anapenda tuteseke kwny mapenzi na tuumie?

rap beast
Weeeee usitufananishe na shetani......Mungu hapendi tuteseke ila kwa kuwa hatumshirikishi pale tunapotaka kuanza mahusiano mwisho wa siku ndo tunajikuta tunateseka
 
Hivi haujawahi kuona watu wanapendana kiasi kwamba unahisi hapa lazima wataoana na mwisho wa siku unasikia wameachana.......basi ndo ujue Mungu hakupanga wawe wote

Mbna swali langu umelikwepa? Nway
Kwahyo wewe kwa mtizamo wako ni kwamba kwenye mahusiano kila kitu Mungu ndo anaamua na kufanya sio? yaani binadamu ye hana makosa kabsa,kwa mtizamo huwa basi nyie ndo huwa mnaamini hata ukiwa unamtukana mumeo na kumfanyia vituko mkaja kuachana mnakuja kusema Mungu hakupanga tu....badilisheni huo mtizamo potofu.

Mapenzi ni kama maua kila siku unatakiwa umwagilie ili yaendelee kukua na kuchanua vzuri,sasa kama ulikuwa humwagilii na kuplay your part unategemea hilo ua litachanua kweli? madem wengi siku hizi hamko loyal huo ndo ukweli hata Chris Brown aliimba, yaani mnapenda sana Material things kuliko watu wakati hizi mali zinaweza kuja na kupotea easily tu, acheni hizo mambo za kumsingizia Mungu bwana,we kama ulizingua kubali tu makosa yako yaishe!

(Mungu kakupa akili na uhuru wa kufanya maamuzi yako ndo maana unaweza amua kumfata yeye au kufanya dhambi it's upto you)
 
Hayo ya kutukana huko sio ila kiukweli hata wewe kama umeoa basi jua Mungu ndo kapanga uishi na huyo mke wako......mimi naamini hivo na sijaskip swali lako
 
Haya mambo hayaaah! Wacha nizitafute tu mbumba kwanza, nilishanyanyapaliwa na mtu niliewahi kumpenda, niliempa thamani na kumjali kuliko nilivyojijali mimi mwisho wa siku nikaja kuambiwa "Unajua nini................ mimi sina future na wewe wala sikupendi tena, Tuachane tu." Nilinyong'onyea sana ila nina imani iko siku tutakutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenicopy na kunipaste mimi mkuu,l was soooooooooooooooo hurt,i dont know how to say it!naelewa ulivyonyongonyea!
 
Io ya patience pays nadhani wadada wangeiangalia kwa umakini na kuacha kufeel entitled na vitu (ego), inahusu sana na inalipa sana, me n mwananume ii kitu imenikuta kwa my ex.. Kila mtu anasikitika kivyake tu saiv, hatuezi hata kuliongelea ili suala japokua kua ukweli anaujua kuwa alizingua.
Na ukivumilia baada ya kutoka anakupiga chini ikoje hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa naona ni kilio cha wanaume waliofulia,mpambane tu na hali zenu
 
Daaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.

By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.

Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"

Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.

Dah hii maisha hii

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
hahaha huyo dada nae, mi siwezi kurudi kwa ex kulia, mara mia nianze upya na mwingine, khee kuna wanawake wanajua kujitoa ufahamu
 
Muhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Wengi wenu huwa hamkubali kubeba vidhaifu ndo maana daima huwa mnajeruhiwa nani ka kwambia kwamba mungu huvitumia vionekanavyo fahari? Mungu huvitumia vidhaifu
 
Na hii utokea pia kwa wale wanaojiwa na mtu kwa ajili ya kutaka posa lakini yeye akamkataa kutokana na kipato chake kuwa cha kawaida, trust me huyo mwanamke huwa anapitia magumu sana kwenye mahusiano yake pengine hata kukosa wa kumuoa. Siku zote amini Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mademu wa MMU wamekuwa wapoleeee..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent by Ubavu
 
Tusiangalie upande mmoja wale wapenzi waliowaacha wapenzi wao sababu ya umaskini baadae wakajuta, wapenzi walioowaacha wakawa na maisha mazuri tuangalie na kuna watu wengi tu waliowaacha wapenzi wao sababu ya umaskini na maisha yao yanazidi kua mazuri tu na maskini alieachwa hajafanikiwa. Kikubwa ni kusaidiana sio mpaka muwe wapenzi kama alifata mali sehemu akipata awe anampa ata kazi aliemwacha but sio kimapenzi tena
 
Mimi nilishahisi toka zamani nitakuja kuwa na hela sasa kwakuwa nimekulia kwenye shida nilikuwaga najiamini sana na mi shida yangu hata mwanamke akinidharau naona poa tu tunaachana huku moyoni najisemea huyu tutakutana mbele tu lazima atajuta na kweli nikiwa na miaka24 account ina milion4...kuendelea umri unavyozidi kwenda pesa ndevu mtoto wa watu natakata tu napita mtaani nimevimba hatari...sasa wanawake wasiojielewaga na wanaopenda mali kuliko mtu basi anajileta leta tena...wangejua wanaume tunadharau wanawake cheap bora hata wasingekuwa wanajirudisha tena...we kama umemkataa mwanaume kwa shida zake usigethubutu jileta akiwa na hela..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom