Ladies..u rejected him when he had nothing..

Ladies..u rejected him when he had nothing..

Ndiyo kisingizio chenu hicho sio??Kama ni hivyo basi mbna kila kitu unaweza msingizia Mungu tu,mfano kama ulikuwa husomi unacheza tu darasani alafu mtihani ukafeli basi pia unaweza sema Mungu hakupanga! unatakiwa ukubali makosa uliyofanya we mwenyewe na kuwa responsible sio kila kitu kumsingizia Mungu tu.
Tofautisha mambo ya kusoma na mahusiano
 
Mm wangu alinitosa nliposimamishwa kazi, nimepata kazi nyngine ananitafuta mara babby babby wakati nshaweka mwngine ndani mamaee
Safi sana... mkazie hivyo hivyo wanakera sana hao jamaa

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
she is single mother now, a lot can happen in 2 years as u can imagine.. kila mtu kapata alichotaka nadhani..
ndo maana nakuambia kuna second chance ktk maisha,mayb usichana ulimsumbua so saizi anajutia aliyoyafanya
 
Daaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.

By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.

Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"

Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.

Dah hii maisha hii

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Daah mkuu umenifikirisha sanaa
Nkiwaangaliaga hawa viumbe nachekaga tu
 
Dah ..Alikuambia live ama kwa msg ama alikupigia simu mkuu

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Alianza kwa meseji, nikaona ka utani nikampigia. Nililokutana nalo doooooooh! Sikia hivyo hivyo tu ndugu
 
Huo ni mfano tu nimekupa haya kama unataka mfano wa mapenzi, kwahyo je ni sawa mwanaume akiachana na mke wake sababu ya mchepuko kusema Mungu hakupanga waishi pamoja? ukifanya makosa unatakiwa ukubali na kuomba msamaha sio kila kitu kusingizia Mungu, hyo ndo point yangu!
Hivi haujawahi kuona watu wanapendana kiasi kwamba unahisi hapa lazima wataoana na mwisho wa siku unasikia wameachana.......basi ndo ujue Mungu hakupanga wawe wote
 
When he was living in that single room in the slum , when all he could afford was to take you for a picnic at a local park yet your best friend kept telling u to be patient with him but you refused because there was this sponsor who was spoiling you with cash who by now left you for another younger girl ..

The hustler you rejected now has his own company, houses and a fleet of cars and he is marrying your best friend who invited you to her wedding and you could not hold your tears when you saw how happy she was with what was originally yours .
Dear ladies,patience pays.

Be with the one that makes u happy but not with the one that gives u everything is God,so stick with that guy and grow with him
0fbdd2b5371ee1e045aea6b557c253f4.jpg
Great
 
Daaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.

By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.

Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"

Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.

Dah hii maisha hii

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii

Dah! Huo ni uuaji! Hayo majibu ni zaidi ya bullets to your heart. Ndio maana watu wengine huishia kuwa players. Pole ndugu na Mola akupe wepesi wakusamehe Ila umpate wa faraja.
 
Dah! Huo ni uuaji! Hayo majibu ni zaidi ya bullets to your heart. Ndio maana watu wengine huishia kuwa players. Pole ndugu na Mola akupe wepesi wakusamehe Ila umpate wa faraja.
Asante mkuu. Nimeshasamehe siku nyingi. Na wa kunipa Faraja yupo mkuu.

Shida ni huyu sasa kagundua Sponsors wamemchoka wameenda kwa "More younger Girls" na wengine wamerudia na kutulia na family zao. Ananisumbua sana kila akipata nafasi. Anajaribu kutafuta angalau moment moja enzi hizo iliyotufurahisha ndio anakumbushia.

Namweleza ya kuwa Nina mtu na Mungu akijalia Logistics zikae safi ntamuoa awe mke wangu. Hanielewi analia lia tu anaomba Japo ajira.

Nikamuuliza, "Je wewe umechanjiwa waume/fiancee za watu au? Maana wakati nikiwa wako peke ako ulinipa shi.t, ukawa na waume za watu. Leo na Mimi mchumba wa mtu ndio unanitaka kwa fujo zote."

Mungu Atusaidie Tu

Anahitaji maombezi na counselling huyo. Ila don't entertain her, anaweza kukuharibia mahusiano yako ya sasa. Hata kama ni ajira labda umpe channels kwingine atafute mwenyewe.

Hongera mkuu, kusamehe sio rahisi ila ukiweza hukufungulia milango mingi ya neema.
 
I am not Entertaining Her Kabisa. Simu yangu hana namba kabisa.

HUnimendea sehemu ambazo anajua ntaenda tu , mfano Kanisani, Sokoni, Carwash etc.

Akinipata huko ndio hutumia nafasi hiyo kusema yake, namsikiliza kisha naondoka namwambia ngoja nimuwahi Mke Wangu Mtarajiwa.

Ndugu Mimi ni Mwepesi sana kusamehe.

Ndugu asante kwa kunitia Moyo

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Back
Top Bottom