BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Kunywa tu kreti zimaMuhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Kunywa tu kreti zimaMuhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Kila kitu mnamsingizia kama sio Mungu basi shetaniUkiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Hapa anazungumzia watu wako katika mahusiano tayari..Kweli kabisa miss...yaani mwanaume maskini akikutongoza ukamkatalia ni shida unaonekana unamnyanyapaa. Kama unapendwa utapendwa tu hata kama unakaa kwa mshikaji wako aliyepanga chumba kimoja uswahilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ..Alikuambia live ama kwa msg ama alikupigia simu mkuuHaya mambo hayaaah! Wacha nizitafute tu mbumba kwanza, nilishanyanyapaliwa na mtu niliewahi kumpenda, niliempa thamani na kumjali kuliko nilivyojijali mimi mwisho wa siku nikaja kuambiwa "Unajua nini................ mimi sina future na wewe wala sikupendi tena, Tuachane tu." Nilinyong'onyea sana ila nina imani iko siku tutakutana.
Sent using Jamii Forums mobile app
You said it all mkuuMungu ana nguvu sana hasa ya upendo na huruma...hata huu upendo ambao ni affectional...mambo yote anapenda kutushirikisha binadamu ...mfano uumbaji tunazaa...nk
Na hiyo iko kote ...kama ndoa ni mpango wake means anataka mfanye wote...sasa wewe hata mpango hujatimia wewe huyohuyo kila siku unakula chips funga za kona bar ...tabata ...buguruni...mdada mrembo lakini kamwe huachi kuwatukana na kudharau wanaume na wanawake unaohisi ama sio status yako au umewazidi vitu flani...hizo ni tabia za kishetani...Mungu hachangamani kwa hiyo kama ulikua na mtu decent atamkingia mabalaa mabaya unayoweza muumiza nayo kama ukimwi...uzinzi...nk na kukuacha wewe na mpango wako mpya na contract mpya na shetani ...hauwezi kuwa mpango Wa Mungu ...utaishia tuu kulaumu...You didn't fulfill you duties how gonna He exercise His rights...
germve himself
Bora wewe hujanitosa. Nmekumiss mkuu.. Habari za kitambo?Tatizo wengi mkisota pamoja mkitusua tu mnawaona hawafai...sio standard zenu...mnaanza michepuko na dharau
Acha wawatose tu
Mkipata watajilengesha upya
Pole sana mkuuMm wangu alinitosa nliposimamishwa kazi, nimepata kazi nyngine ananitafuta mara babby babby wakati nshaweka mwngine ndani mamaee
mkuu,but katika maisha huwa kuna second chance?I date this girl, tulipendana sana sana, nkapata nafasi ya kwenda kusoma masters nnje ya nchi, nliongea nae lakin hakupenda japo hakuniambia kama hajapenda, vikaanza visa na vitimbwi, tukaachana, alitaka ndoa fasta fasta yaani, me nkaacha kazi nikaondoka kwenda shule, saivi nakaribia kurudi ndo anataka turudiane nadhan anahis future inaeza kua nzuri upande wangu, na ananiambia visa vyote kua hakutaka niondoke niwache eti alikua kanizoea.... wakati alinpiga kibuti na kibuti kilikua official hadi sikuamini. sasa roho ina ukakasi tu, siwezi kumrudia namwona tu kama msaliti na anajistukia kweli kweli. So me nakufa na maumivu yangu na yeye pia. Its a long story but to make it short ipo ivo. hakuamini dreams zangu saivi zimekua lulu.
she is single mother now, a lot can happen in 2 years as u can imagine.. kila mtu kapata alichotaka nadhani..mkuu,but katika maisha huwa kuna second chance?
Ukiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Hapana sio tunamsingizia Mungu or shetani but huo ndo ukweli wenyeweKila kitu mnamsingizia kama sio Mungu basi shetani
na wakaati watu wanajitakia wenyewe
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu