BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,028
Mnajipa mahope ama nnMuhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Mnajipa mahope ama nnMuhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Hizi biashara za Mungu hakukupangua hizi.Muhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Mungu hausiki na machaguo yetu kwenye mahusiano.Ukiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Ni kweli kabisa!Ukiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Baba huo msemo wako Wa mwisho. "Hii simu no hii, sio ile" nimeukubali.I am not Entertaining Her Kabisa. Simu yangu hana namba kabisa.
HUnimendea sehemu ambazo anajua ntaenda tu , mfano Kanisani, Sokoni, Carwash etc.
Akinipata huko ndio hutumia nafasi hiyo kusema yake, namsikiliza kisha naondoka namwambia ngoja nimuwahi Mke Wangu Mtarajiwa.
Ndugu Mimi ni Mwepesi sana kusamehe.
Ndugu asante kwa kunitia Moyo
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Una uhakika?Mungu hausiki na machaguo yetu kwenye mahusiano.
Kwa hio Mungu huwa anampangia mtu kitu kibaya?Muhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Yah
Sasa kwa nini urudi baada ya mambo ya jamaa kuwa fresh kama kweli hakupanga?Ukiona hivo jua Mungu hakupanga muishi wote period
Kila mtu na Imani yake Mkuu tuheshimiane katika hilo.Hizi biashara za Mungu hakukupangua hizi.
So ukiolewa na jamaa then full kipigo so Mungu alikupangia ukale vipigo huko??
Please embu Embu mpunzisheni Mungu. Haya yote ni machaguzi yetu binadamu na tamaa zetu wala.Mungu hausiki. Ndio maana kuna walioolewa na majambazi na wachawi so Mungu alikupangia hivyo even if wewe ulikuwa decent.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamsome Ayoub kwenye biblia kama Mkristo.
Ndo ujue sasa Mungu hakupanga na ndo maana alivorudi akakuta tayari ex wake ana mtu mwingineSasa kwa nini urudi baada ya mambo ya jamaa kuwa fresh kama kweli hakupanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anatupangia mateso kwa zamu cyo. Huyu aliumia, akafanikiwa. Huyu mwingine akaenda akarud na yeye inabid aumie.Ndo ujue sasa Mungu hakupanga na ndo maana alivorudi akakuta tayari ex wake ana mtu mwingine
hongera mkuuDaaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.
By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.
Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"
Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.
Dah hii maisha hii
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Swali la msingi sana hilo.Sasa kwa nini urudi baada ya mambo ya jamaa kuwa fresh kama kweli hakupanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana unaambiwa kwenye mahusiano tumshirikishe sana Mungu ili tupate chaguo sahihi........sema wengi wetu tunakurupuka sana kwenye mahusianoMungu anatupangia mateso kwa zamu cyo. Huyu aliumia, akafanikiwa. Huyu mwingine akaenda akarud na yeye inabid aumie.
Sent using Jamii Forums mobile app