Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Hehehehehheheee haya bhanaMi naweza ila sharti awe bikra na nithibitishe...ile alietumbuliwa hana sabab ya kunisubirisha
rap beast
Hehehehehheheee haya bhanaMi naweza ila sharti awe bikra na nithibitishe...ile alietumbuliwa hana sabab ya kunisubirisha
rap beast
Hahaa nasbr uzi wako wa kutafta mme ntajitokeza so kwa kuwah kuamka uku...Hehehehehheheee haya bhana
Yani acha tu hata nikiwahi kuamka baadae lazima nitalala tena..........mbona nilishatafuta boyfriend ila kwa sasa sitaki tenaHahaa nasbr uzi wako wa kutafta mme ntajitokeza so kwa kuwah kuamka uku...
rap beast
Haha Jmn hyo mbna nliikosa asee...Yani acha tu hata nikiwahi kuamka baadae lazima nitalala tena..........mbona nilishatafuta boyfriend ila kwa sasa sitaki tena
Hahahahaahaaaaa haya bhanaHaha Jmn hyo mbna nliikosa asee...
Bas ukihitaj ntapatkana mda wowote ule!!
rap beast
Poaa japo nimepitia nyuzi kamoyo kamefanya pwaahHahahahaahaaaaa haya bhana
Hahahahahhaaaaaa polePoaa japo nimepitia nyuzi kamoyo kamefanya pwaah
rap beast
Duh...shajipoza asee na jna ulilotumiaHahahahahhaaaaaa pole
Jina gani tenaDuh...shajipoza asee na jna ulilotumia
rap beast
Heheheheheheheee hayaCurious u!!
rap beast
Khantwe mimi ni mwanaume maskini Samahani naomba nikutongoze, utanikatalia au utaninyanyapaa kwani??Kweli kabisa miss...yaani mwanaume maskini akikutongoza ukamkatalia ni shida unaonekana unamnyanyapaa. Kama unapendwa utapendwa tu hata kama unakaa kwa mshikaji wako aliyepanga chumba kimoja uswahilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Ni meKama ni ke, inabid tuzungumze vyema pm
Kweli KABISATrust me huo ndo ukweli na kama Mungu angepanga wawe wote hao lazima wangeona.......unajua sisi binadamu tunasema tu ila Mungu ndie anaepanga
Daaah alinitumiaga SMS kwenye "Siemens C25 a.k.a Twanga Pepeta" yangu akisema, "Wewe nenda kapendwe na Mama Ako, Hauna kitu hakuna mwanamke wa kuwa na wewe". Nakumbuka neno kwa neno, iliniuma saaaana sana nililia, sikula chakula, nilikonda sana, moyo uliteseka sana.
By then yuko na Sponsor mume wa mtu, dingi wa wizarani.
Nikamsihi sana anivumilie najichanga tuje tuzile na watoto wetu, akanijibu, " maisha ni mafupi, sina muda na maskini"
Leo lazima anisalimu Mara tatu kama dosage ya Paracetamol daily, hajali hata nisipojibu. Ananiomba Japo nimuajiri.
Dah hii maisha hii
Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
Muhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Boss nirudishie simu yangu